Kusajili ni muhimu kwa ajili ya kujilinda ila wazoefu wa mikopo wapo na benki zmewashindwa pamoja na kuwa na wanasheria wao inabd uwe makini sana kwenye hii biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii biashara ilikua nzuri enzi za jk japo hata kwa sasa inafanyika ila changamoto zake zmekua nyingi so umakini unahitajika mkubwa sana,mbinu mojawapo ni kupunguza riba ikizd sana iwe 30% kwa mwez na pia ubahatike kukutana na mtu anaeheshimu mkopo na inabd ujue chanzo cha hela cha mteja wako...
Sheria aendelee kuzivunja humu humu nchini kwetu ila hao wazungu wamemzidi akili kwa mbali sana itafika mahali watawashikilia hao anaowatuma kumuwakilisha kwenye mikutano ya kimataifa kama bond ya deni
Sent using Jamii Forums mobile app
Very interesting hapa naona kama nachelewa kuijua zaidi,ungeanza kutupa links za materials ili tupate knowledge kidogo wakati ukiendelea kukamilisha part yako.Asante sana mkuu kwa kujitolea kwako be blessed champ.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.