Nilipotakwa kimapenzi na mtoto mzuri wa Ig nikamtolea nje kwa mbwembwe nikihisi ni manzi angu ananipima imani dah kumbe sio yeye aisee na tumeshabrake up kitambo.... dah huwa najuta sana!
Semister nzima chuoni niliitumia kumjua kiundani kama ilivyo kwa upande wako tulisaidiana kwa mambo mengi hasa msaada mwingi ulitoka kwake! alionesha anajali sana mpaka marafiki zangu wakawa wanalilaumu kwa nini nisidate nae because she love me for real!
Ila nilikuwa nipo neutral kwake sababu...
Poor and worst past in my life ilisababishwa na urafiki na msichana uliopelekea kuwa wapenzi! nadhani ni mahusiano yaliyonirudisha nyuma kimaendeleo,yaliyonidhalilisha,yaliyoniturn in worst living style ever happen! ni kumbu kumbu mbaya kwangu huwa naijutia siku ya kwanza kukutana na msichana...
Nimepitia situation kama yako mkuu! hakuna cha viboko wala nini! kikubwa badilisha focus ya maisha achana na ngono na mapenzi kwa ujumla tafuta pesa, mapenzi ibaki kuwa kama subset tu! na yasikufanye uwe slave! mkaribie mungu wako, tubu zambi zako,fanya.mazoezi sana,jipende kwa chakula na...
Mkuu kumbuka humu tupo watu wa aina na akili mbali mbali haiwezekani tukaja kuwa sawa hata siku moja!.....Binafsi naona ndio raha yenyewe ya jf(a lot of challenges and jokes) nadhani tungekuwa serious sana majukwaa yange bore sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.