Nahisi Mungu ananichapa kiboko

Nahisi Mungu ananichapa kiboko

Nimepitia situation kama yako mkuu! hakuna cha viboko wala nini! kikubwa badilisha focus ya maisha achana na ngono na mapenzi kwa ujumla tafuta pesa, mapenzi ibaki kuwa kama subset tu! na yasikufanye uwe slave! mkaribie mungu wako, tubu zambi zako,fanya.mazoezi sana,jipende kwa chakula na mavazi,usiyajutie makosa ya zamani chukulia kama darasa ambalo litakufanya kuwa bora kuliko ulivyokuwa before...... mambo mengine yatakaa shega mkuu!
 
Its called Karma.

Pole though. Tujifunze kufanya mema na kuachana kwa wema kabisa sio lazima kubaki maadui.
hivi kuachana kwa wema kunawezekanaje? kwamba wote mmeridhia kuachana? maana kama mmoja hajakubali kuachwa sijui kama kutakuwa kwema
 
Inawezekana.

Pale ambako unajiona kabisa you are drifting apart na zile hisia za kimapenzi hamna tena.

Ile spark imeshakufa.... not because you fight but kwa sababu unajihisi kabisa they are not what you thought they would me.

Hapo sasa mnaachana by mutual agreement.
 
Nimepitia situation kama yako mkuu! hakuna cha viboko wala nini! kikubwa badilisha focus ya maisha achana na ngono na mapenzi kwa ujumla tafuta pesa, mapenzi ibaki kuwa kama subset tu! na yasikufanye uwe slave! mkaribie mungu wako, tubu zambi zako,fanya.mazoezi sana,jipende kwa chakula na mavazi,usiyajutie makosa ya zamani chukulia kama darasa ambalo litakufanya kuwa bora kuliko ulivyokuwa before...... mambo mengine yatakaa shega mkuu!
Shukrani sana Mkuu nimekuelewa....maana naona nilikuwa nalazimisha sana mambo
 
Inawezekana.

Pale ambako unajiona kabisa you are drifting apart na zile hisia za kimapenzi hamna tena.

Ile spark imeshakufa.... not because you fight but kwa sababu unajihisi kabisa they are not what you thought they would me.

Hapo sasa mnaachana by mutual agreement.
bado umeizunguka point ....,

nipo na wewe, nikachepuka nikanogewa huko, nikaanza kukufanyia figisu. wewe ndo umekolea sana hutaki penzi lifike mwisho.

kuachana kwa wema hapo kunatokeaje?
 
Back
Top Bottom