data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,945
- 23,891
Hahahaaa..25's
Nami nilijua tu uko rika hilo.
Fanya kazi bado mdogo sana.
Hahahaaa..25's
Kwa hiyo hizo mimba zote umewapa wewe?Sasa hivi naandika huu uzi wale wanawake zangu 3 wanamimba kubwa tu na kinachoumiza sahizi nimekuwa na uoga mbele ya hawa viumbe na kibaya zaidi hata wa kuzugia nakosa wakuu nahisi Mungu amenichapa bakora masikini mimi hata ninaowasimamisha namba kupata kwa mbinde ninapopata naambiwa wan
As a woman who knows her self-worth, it is possible.bado umeizunguka point ....,
nipo na wewe, nikachepuka nikanogewa huko, nikaanza kukufanyia figisu. wewe ndo umekolea sana hutaki penzi lifike mwisho.
kuachana kwa wema hapo kunatokeaje?
walikudanganya walipokuambia 'chapa ikalale'Mkuu mbona nasikia mambo ya hivi yanaondoka vizuri tu...
Ni wachache sana waelewa wengi ukimuomba muachane anakuchukia! mimi kuna mtu ananichukia bora hata ya shetani ila ndio hivyo!Inawezekana.
Pale ambako unajiona kabisa you are drifting apart na zile hisia za kimapenzi hamna tena.
Ile spark imeshakufa.... not because you fight but kwa sababu unajihisi kabisa they are not what you thought they would me.
Hapo sasa mnaachana by mutual agreement.