Recent content by lopinavir

  1. lopinavir

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu,naomba kuelimishwa,kwenye Betpawa Jackpot kuna maandishi "Pick 13 winners,prize for 10 correct" Hii inamaanisha ukiweka mkeka wa mechi 13,kumi zikashinda tatu zikapoteza unapewa mshiko wako au unakuwa umepoteza pia?
  2. lopinavir

    Mwanaume unayehitaji sana mtoto..

    Vigezo ninavyo,tatizo siyo mweupe,nimeoa,mtoto ataitwa kwa majina yangu,nitamuhudumia kwa kila kitu,wewe utaishi nae,meseji na simu za kila mara sitaki,nitakutafuta mimi,kama upo tayari DM. NB:Baada ya mtoto kufikisha miaka 3,DNA test lazima.
  3. lopinavir

    Matumizi ya Dola kwa katika biashara za ndani ni sawa?

    Habari zenu wanajamvi? Hivi ni sahihi kwa baadhi ya taasisi za serikali kuchaji gharama zao kwa kutumia Dola badala ya Shilingi ya Tanzania(Tsh)? Mfano: Air Tanzania kwa safari za ndani, ukiingia kwenye website ya kufanya booking wameweka nauli zao kwa Dola badala ya Tsh, hii ni sawa?
  4. lopinavir

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Naomba mnisaidie kujua,UTT mbali na faida ya inayoongezeka siku za kazi,je kuna faida nyingine yoyote inayotolewa kila Mwisho wa Mwezi? Sent from my SM-A137F using JamiiForums mobile app
  5. lopinavir

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Maelezo yenu ni mazuri ila watendaji wenu ni tatizo,nataka kuunganisha umeme kijiji(nyumbani) walikuja wakafanya survey,hadi leo sikuwahi kutumiwa control number,baada ya mzee wangu kufuatilia kwa muda mrefu akaambiwa zinahitajika nguzo tatu na anapaswa kulipia sh 3m ili kuunganishiwa umeme,hii...
  6. lopinavir

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Kuna mgao wa umeme Mwanza? Maana mitaa mingi umeme unakatwa asubuhi unarudi jioni.
  7. lopinavir

    TANESCO kama kuna mgao wa umeme Mwanza mtangaze wananchi tujue

    Buhongwa tangu Ijumaa umeme haueleweki,unakatika asubuhi unarudi jioni
  8. lopinavir

    Wakuu natafuta hii gari

    Nenda National(Mwanza) Kuna garage inaitwa kwa mama lishe,kapo ka hivyo
  9. lopinavir

    Taja sifa za madereva bodaboda

    Wanajua kupiga honi sana kuliko kushika breki.
  10. lopinavir

    TCRA imulikeni Airtel

    Nilidhani ni simu yangu,kumbe ni mtandao,inakera sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. lopinavir

    Nchi ya ajabu sana hii: Pamoja na janga la Corona bado Mamlaka zinakata maji

    Ziwa llimejaa hadi kupitiliza lakini maji mabombani yanatoka kwa kusuasua....hii ni aibu kwa mamlaka ya maji Mwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. lopinavir

    Barabara ya kutokea Rusumo haipitiki kwa siku mbili sasa

    Ni bora hiyo barabara ingekuwa ya vumbi ikaeleweka, lami imetengeneza mashimo ambayo yanakata haswaa..... Unakwepa shimo unaingia kwenye shimo, Nyabugombe ni hatari zaidi..... Bora upande wa Ngara walijaribu kuziba mashimo kwa kuyajaza udongo....... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. lopinavir

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Write your reply...Tanesco mnafeli wapi?Mwanza-Ilemela kata ya Nyamhongoro kuna mtaa hauna Umeme hata Nguzo hakuna na kuna watu wengi,REA waligoma kupeleka umeme kuwa siyo kijijini,Nyie hata kujishughulisha hakuna,watu wameshafuatilia hadi wamechoka,ahadi zimekuwa haziishi.....!!!Tokeni...
  14. lopinavir

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Write your reply...Tanesco mnafeli wapi?Mwanza-Ilemela kata ya Nyamhongoro kuna mtaa hauna Umeme hata Nguzo hakuna na kuna watu wengi,REA waligoma kupeleka umeme kuwa siyo kijijini,Nyie hata kujishughulisha hakuna,watu wameshafuatilia hadi wamechoka,ahadi zimekuwa haziishi.....!!!Tokeni...
Back
Top Bottom