TANESCO kama kuna mgao wa umeme Mwanza mtangaze wananchi tujue

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,742
7,697
TANESCO Juzi mlitoa tangazo la katizo la umeme tarehe 14/8/2022 siku ya Jumapili ambayo ni kesho kwa ajili ya matengenezo.

Cha ajabu kutoka juzi tarehe 11 baadhi ya maeneo katika jiji la Mwanza mmekua mkikata umeme kuanzia asubui na mnaurudisha jioni. Eneo nililopo leo ni siku ya tatu mfululizo mnakata umeme asubuhi na mnarudisha jioni, ina maana kesho itakua ni siku ya nne mfululizo.
 
TANESCO Juzi mlitoa tangazo la katizo la umeme tarehe 14/8/2022 siku ya ijumapili ambayo ni kesho kwa ajili ya Matengenezo

Cha ajabu toka Juzi tarehe 11 baadhi ya maeneo katika jiji la Mwanza mmekua mkikata umeme kuanzia asubui na mnaurudisha jioni, eneo nililopo leo ni siku ya tatu mfululizo mnakata umeme asubui na mnarudisha jioni, inamaana kesho itakua ni siku ya Nne Mfululizo..
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo
 
Ndugu Mteja!
Tafadhali onesha taarifa zifuatazo kwa wepesi wa kufanyia kazi swala lako:
Jina
Wilaya
Tatizo
Simu
Namba ya Mita
Namba ya taarifa/Ombi kama ipo

Wee Admin unafikiri tatizo lipo kwenye nyumba yake pekee?? Kasema eneo alilopo umeme unakatwa asubuhi unarudishwa usiku halafu wewe unamuomba namba ya mita. Au unafikiri eneo hilo wana namba moja ya mita eneo zima? mnakera sana!
 
Hao Tanesco ni mafaal sana yaani mwaka mzima wamegoma kunifungia umeme wamebaki kunitumia sms za kufungiwa bila mafanikio
 
Back
Top Bottom