Wakuu natafuta hii gari

Nimeiona moja mbez huku last week..ikanichanganya sana..jamaa kakapaka rang ya pink..halaf ndan keupeee peee..kana ngaa balaa..kasafiiiiiii...sjui mtandaon japan vipo hiv..sjui hata vinatokaga wap
Japan hazijawahi kukanyaga, hii ni ubunifu wa Hitler mjerumani, alitaka gari itakayoweza kwenda jangwani ambako hakuna maji kabisa.
 
JamiiForums-2095904022.jpg
 
Jamani eeh...mim hii gar kwa wakat huu ndo my dream car...nataka niipate nii pimp kiwe convertable...yaan naipenda hii gar jaman

Anaejua napoweza pata kwa bei nzur na hali nzur....sjui nikaweke engene gan haka

Ushaur wenu wakuu...

Uzi tayarView attachment 1928468
Ila watu zamani walikuwa wabunifu sana ukiiangalia hii body au ya 109 yaani huna cha kukosoa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom