Recent content by Lone _Wolf

  1. Lone _Wolf

    Miaka 5 kazini mshahara haujawahi kutana

    Huna nidhamu ya hela either ni kwa sababu hukusota na kuujua upande wa pili wa shillingi au ni ignorance yako yakuona 1.2m is such a big deal ukasahau kufanya mambo mengine, labda niulize huo mshahara mnalipwa cash au kupitia benki??. Anyways pesa yako so as long as unaingiza kila mwezi endelea...
  2. Lone _Wolf

    Nahitaji kujua lilipo shirikisho la mieleka Tanzania

    Yes mkuu, nahitaji kufungua kabisa promotion ya wrestling kwa Tanzania iwasaidie vijana kama bridge yakufika WWE, AEW, IMPACT, NEW JAPAN PRO WRESTLING, MWA etc. Man of the hour.
  3. Lone _Wolf

    Ladies: Kuwa na mwanaume anayekupenda na si unayempenda wewe

    Nimesoma comments nikaja kujiuliza hivi hizi roho nyeusi tunazitolea wapi??! Mkuu mtoa uzi all the best in your future endeavours. Man of the hour.
  4. Lone _Wolf

    Msaada tafadhali naomba niwe mkweli

    Akasome uzi wa kcheko cha chini ya muembe. Man of the hour.
  5. Lone _Wolf

    Nahitaji kujua lilipo shirikisho la mieleka Tanzania

    Tatizo ni nini kwani mkuu? Man of the hour.
  6. Lone _Wolf

    Kama Umejiajiri Pita Hapa

    Je una mbinu gani tofauti ya kulikabili soko la kujiajiri ?? Je plan yako ni implementable??! Na je unahisi una utofauti wowote na waliopo kwenye soko la kujiajiri wenye idea sawa???! Je wewe ni risk taker??! Na umecalculate hiyo risk na namna ya kuicover kama plan yako itaenda mrama??! NB...
  7. Lone _Wolf

    Nahitaji kujua lilipo shirikisho la mieleka Tanzania

    Habari ya jioni pia Heri ya pasaka wapendwa. Kama kichwa kinavyotaja juu nahitaji mawasiliano ya shirikisho tajwa hapo juu, pia naomba kufahamu makao makuu yao yalipo. Natanguliza shukrani zangu kwa msaada nitakaopata. Man of the hour.
  8. Lone _Wolf

    TANZIA: Mwandishi Lutengano Haonga wa TBC afariki dunia

    Another job opportunity. Man of the hour.
  9. Lone _Wolf

    Nashindwa kumuacha mwanamke niliyenaye

    Why date her if you don't have plans with her??! Don't take dating as a hobby, kuna hobby mingimingi waweza fanya mfano swimming, watching movies etc, Don't take someone's heart for a hobby. May the wrath of Karma be with you. Man of the hour.
  10. Lone _Wolf

    Mahusiano ya kizungu Vs kibongo

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Man of the hour.
  11. Lone _Wolf

    Kumzalisha mtu ni tiketi ya kuendelea kupata tendo la ndoa hata kama mtaachana

    Kila mtu atabeba mzigo wake, cha msingi chagua mziki utakaoweza ucheza. Man of the hour.
  12. Lone _Wolf

    Gari ni muhimu sana katika mapenzi

    Waliolike hii comment naona hawana Gari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Man of the hour.
  13. Lone _Wolf

    Ulipata milioni yako ya kwanza ukiwa na umri gani? Ulipataje?

    17 yrs,from my hustlers. Man of the hour.
  14. Lone _Wolf

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    2020 ndo hii, toa mrejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Man of the hour.
  15. Lone _Wolf

    Kutoa mahari wakati wa kuoa ni utamaduni wa kizamani. UFUTWE

    Mimi nadhani ni sisi waafrika kuchukulia suala hili tofauti, watoa mahari wanalichukulia kitofauti vivyo hivyo wapokea mahari. Man of the hour.
Back
Top Bottom