Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Itakuwa tayari ushakisave!

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ

Mufti kifaa ninachotumia kina limitations kibao! Hii natizama hapa hapa! Hakuna option ya kuipakua. Ningekuwa upande wa user friendly kule mbona kitambo tu ningekuwa nacho.
 
Ninayo nikutumie wapi au PM

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Mguu wa Bata
IMG_20200322_130723.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu niko njia panda

“Shemeji yeenu wa zamaaanii, leo kanikumbuka kasema anataka kuja kulala kwangu,

Aisee kila nikifikiria ujio wake lazima mie nioge, nguvu zinaniishia.

Kunakoelekea naikataa hii ofa, yaani mie nioge leo, makaveli mie nioge na baridi hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu oga hii cha mtoto tu, mi kwa Tanzania hii hakuna sehemu ambayo nitashindwa kuoga maji baridi.

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Hapana ndugu yangu! Leo navunja sharti, nayavulia nguo maji halafu siyakogi.
 
Imeandikwa mwenye kumwangalia sana mke asiyekuwa wake tayari amekwishazini nae, hivyo nawe kuyaangalia tu maji tayari umeshaoga

e͕̓́s̤̓͝t̫͒̀-̭̅͝c͇ͬ̀e͎͂͞ ̡̘̔q̨̜̾u͙͂͢ẽ̷̯ ̣͆͜ṭ̡̈́u̶̖̾ ̯̈́͞m̡͕̄'̖̄̕a͉͆͘i̧͕͆m̛͎ͫĕ̸͍sͮ͟ͅ?
 
Yaani bangi nilovuta leo ovyo sana! Nimeandika note flani hivi kwenye simu yangu, tatizo limekuja kila nikisave najibiwa Note saved nimefanya kama mara 10 hivi...jibu ni hili hilo....nahisi simu yangu itakuwa mbovu

ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ "ᴷⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ ᵇᵉᵗᵗᵉʳ"
 
Back
Top Bottom