Lone _Wolf
Senior Member
- Dec 19, 2017
- 119
- 84
Je una mbinu gani tofauti ya kulikabili soko la kujiajiri ?? Je plan yako ni implementable??! Na je unahisi una utofauti wowote na waliopo kwenye soko la kujiajiri wenye idea sawa???! Je wewe ni risk taker??! Na umecalculate hiyo risk na namna ya kuicover kama plan yako itaenda mrama??!
NB: Always have plan A, don't allow to give up on your plan, zunguka mbuyu lakini hakikisha unarudi kwenye point yako na komaa na plan yako, you can't climb a mountain without heading obstacles, tiredness, pain. People give up just when they start climbing.
Man of the hour.