king ibra
Member
- Dec 25, 2019
- 52
- 51
- Thread starter
- #41
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Unasoma la ngapi???maana hizi mada tuliziacha A level....
Hii hali inatokega jamani acheni masihata atii..alaaah..[emoji23][emoji23][emoji23]Weka mkono kifuani jipige taratibu huku ukisema mm ni mshenzi wa tabia.
Acha ujinga usipotezee mtu muda unamuonea huruma ww ni mungu?
Utani huoHii hali inatokega jamani acheni masihata atii..alaaah..[emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kuwa naye baadaye utakuja ujuteJamani wana JF msaada wenu maana nimeshindwa kumuacha mwanamke nimedumu naye kwa miaka mitatu hadi sasa lakini sio chaguo langu la kuoa. Sasa kila nikimuacha baadaye namuonea huruma anavyolia najikuta namrudia tena.
Msaada wenu jamani, nifanyaje katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwnn unataka kumuacha ?Jamani wana JF msaada wenu maana nimeshindwa kumuacha mwanamke nimedumu naye kwa miaka mitatu hadi sasa lakini sio chaguo langu la kuoa. Sasa kila nikimuacha baadaye namuonea huruma anavyolia najikuta namrudia tena.
Msaada wenu jamani, nifanyaje katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wala ata sio utani sometimes this happens especially kama uliingia mzima mzimaUtani huo
Bila picha au namba ya simu tutacomment vpJamani wana JF msaada wenu maana nimeshindwa kumuacha mwanamke nimedumu naye kwa miaka mitatu hadi sasa lakini sio chaguo langu la kuoa. Sasa kila nikimuacha baadaye namuonea huruma anavyolia najikuta namrudia tena.
Msaada wenu jamani, nifanyaje katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana aisee sio kisema unamuonea hurumaWala ata sio utani sometimes this happens especially kama uliingia mzima mzima
Mtoa mada hebu fanyia kazi hii commentEmu acha mara moja kumuonea "uluma" mtu kama hadeserve kubaki kwenye safari yako ya maisha kwanini uendelee kumng'ang'ania?
Ilikuwaje ukajiita "king" kama kitu kidogo hivi huwezi kukifanyia maamuzi?
Daah wew acha 2 nimeomba ushauli ata alienijibu kwakuipendeza napsi Yang akunaYaani kama mleta uzi ulijiona umepinda basi wachangiaji wamenyongorota.
Mana umepata majibu konki. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kwel mkuu,kuna watu wengine hawajui maana ya neno upendo hasa mapenzi ya dhatiKinachokufanya uone huruma sio kilio tu, bila shaka kuna mazuri aliyokutendea ukikumbuka yanaumiza sana unajihukumu, chagua moja kuamua kumuoa haraka au kumuacha haraka, ukikawia kumuacha hatalia tena kama unavyomuona sasa ila ujiandae kwa vurugu baina yenu watatu na huyo mwanamke pembeni lazima atachemsha then wanatawanyika wote utabakia king feki