Wazungu ndo ivo ukipendana nao utanzani mapenzi hayataisha leo wala kesho.Nakumbuka bint mmoja wa kizungu,tumekutana nilipopita kijijin kwao nikamchukua na kumleta mjini,miaka minne na yule bint,christmass,easter naenda kwa wakwe,nikajua haya ndo maisha. Siku alositisha mahusiano...