Mahusiano na wazungu ni kitanzi

Mahusiano na wazungu ni kitanzi

Ila hao watu ni nomaa Kwenye ustraight forward na kuwa wawazi. Sio wanaume wetu unapigwa matukio unajiongeza mwenyewe hapa sitakiwi.

Mzungu anakuonesha mapenzi motomoto Hadi siku ya mwisho anakupa kibuti, hahaha sitakaa nisahau nlihisi kuzimia Maana I didn't see it coming. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wazungu ndo ivo ukipendana nao utanzani mapenzi hayataisha leo wala kesho.Nakumbuka bint mmoja wa kizungu,tumekutana nilipopita kijijin kwao nikamchukua na kumleta mjini,miaka minne na yule bint,christmass,easter naenda kwa wakwe,nikajua haya ndo maisha. Siku alositisha mahusiano nilishangaa,nikajiambia moyoni labda kama angekuwa mbongo mwenzangu angekumbuka wema nilomfanyia,lakin ndio ivo tena,mpaka leo sitaki hata kuwasikia.
 
tell me huyo mtizii bado uko naye, na je hukujutia maamuzi yako..!?
Bad lucky mtz hata alipo sijui 🤣🤣🤣

Jamaa alinivuruga ubongo mpk maini, sijawahi kujutia kutokuwa part ya mimi kutokea pale.

Miezi kadhaa ikapita, kidogo nikaanza kusahau.. hiyo siku napokea msg namba ya tz ‘salamu zako kutoka kwa flan.. sikutaka kujua kitaendeleaje.
Nilifungua simu toa laini vunja 😂😂

Weee sitaki hata kumkumbuka… alivyokuwa ananitishia eti nimemuumiza na yeye ataniumiza mpaka nijute kumjua.
 
Ushapigwa na kitu kizito, usitutishe.

Wewe ulimdanganya huyo mzungu wako ndiyo maana, ila ukiwa open ni watu poa tuu.

Huwa kabla hawajaingia kwenye mahusiano wanapendaga wajue mtakuwa na aina gani ya mahusiano, is it open, friend with benefit ama marriage-wise.

Sasa wewe jifanye unamuambia utamuoa kumbe kichwani mwako unamchukulia just a friend with benefit, then uje ummwage ndio utakipata cha moto.
Unapoanzisha mahusiano sio lazima ulichokuwa unawaza kitimie...
Unaweza kuanzisha mahusiano lengo mfike mbali lakini katikati itokee mambo kuvurugana.
Kwenye kuachana sasa ndipo niliposimamia point yangu.
Sio kila mahusiano huanza kwa kudanganyana ili yasifanye kazi baadae...unaweza kuwa mkweli na baadae mahusiano yakafa tu vilevile.
 
Ila hao watu ni nomaa Kwenye ustraight forward na kuwa wawazi. Sio wanaume wetu unapigwa matukio unajiongeza mwenyewe hapa sitakiwi.

Mzungu anakuonesha mapenzi motomoto Hadi siku ya mwisho anakupa kibuti, hahaha sitakaa nisahau nlihisi kuzimia Maana I didn't see it coming. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi saivi siwakubali wala nini wale...smh
 
Sheria zinaruhusu ndio maana wanawake wa mabilionea wanazimalizia kesi za taraka UK maana wana uhakika wa kuondoka na ukwasi wa maana
Balaa lao utajua hujui. Kwanza wana ile hali ya kusema ngoja nikukombe mpaka vijiko vya jikoni ukose. Utaachwa pa kulala ni sakafuni. Hawana maana na bora iishie huko huko tu isije huku kwetu.
 
We Jamaa muongo sana, Wazungu ndoa wengi wao wanataka muwekeane masharti mahusiano siyo ishu yanavunjika muda wowote
Kwa hiyo tuseme kichwa chako kigumu kuelewa nilichoandika ama!?
Ukiwa hivyo usisite kururdia rudia kusoma mwishowe utaelewa tu.
 
Mimi sikumuacha
Alinitrack… akakutana na aliyokutana nayo[emoji23]
Nikaulizwa.. nikagoma.

Weee si ndio mziki ulipoanzia.. sasa akanambia choose me or huyo mtz, nikachagua mtz.dadeq balaa likazidi [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka hatari,akaona umembagua[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bad lucky mtz hata alipo sijui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Jamaa alinivuruga ubongo mpk maini, sijawahi kujutia kutokuwa part ya mimi kutokea pale.

Miezi kadhaa ikapita, kidogo nikaanza kusahau.. hiyo siku napokea msg namba ya tz ‘salamu zako kutoka kwa flan.. sikutaka kujua kitaendeleaje.
Nilifungua simu toa laini vunja [emoji23][emoji23]

Weee sitaki hata kumkumbuka… alivyokuwa ananitishia eti nimemuumiza na yeye ataniumiza mpaka nijute kumjua.
Loooh,watu wanakuwaga serious eeh?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom