Legacy ya Samia Suluhu Hassan ni ipi?

Legacy ya Samia Suluhu Hassan ni ipi?

Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?

Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?

Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.

Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.

Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.

Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.

Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.

Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.

Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.

Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.

Mimi sijaona.
Legacy yake ni kulamba asali.
 
Nchi ilikuwa gizani ,ameleta angalau demokrasia watu wanaweza kutoa maoni yao tofauti na miaka ya nyuma.legacy kubwa ni uhuru wa demokrasia
 
Legacy wa urais wake? Kwani kawa rais mda gani??l
Legacy haijengwi kwa mwaka au miaka 2/3, ni life time achievement! Nahis wewe na wanao comment hamjui maana ya legacy.
 
Unafahamu mbio za kupokezana vijiti? Kama unafahamu yeye amepokea kijiti kutoka kwa chizi. Ugumu anaokutana nao na kuutatua ndiyo mafanikio yake.
Siko against Rais Samia, lakini hii yako siyo sababu ya maana. Magufuli alipokea kijiti kutoka kwa jizi, namaanisha jizi, lakini tuliona akijipambanua na kuonyesha uwezo wake ndani ya muda mfupi.
 
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?

Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?

Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.

Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.

Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.

Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.

Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.

Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.

Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.

Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.

Mimi sijaona.
1. Kurembua
2. Kudhania kila Kitu
3. Kubembeleza Waswahili Wavivu
4. Mipasho
5. Maneno mengi Vitendo Vichache
6. Kupapenda Dar kuliko Dom
7. Kupendelea zaidi Wanawake
 
1. Kurembua
2. Kudhania kila Kitu
3. Kubembeleza Waswahili Wavivu
4. Mipasho
5. Maneno mengi Vitendo Vichache
6. Kupapenda Dar kuliko Dom
7. Kupendelea zaidi Wanawake
Hasa hasa Makamba! Watu wengi wa maeneo hayo wanasumbuliwa na Umwinyi majungu mengi kazi zero!
 
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?

Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?

Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.

Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.

Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.

Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.

Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.

Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.

Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.

Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.

Mimi sijaona.
Ukweli usemwe ...tusitegemee mwanamke kuja kuwa na legacy hata siku moja ..kwa sababu wanawake wanapata uongozi kwa kutumia tobo zao za chini wala si kwa akili zao vichwani.
Lakini licha ya kutumia tobo zao za chini ila wana utofauti pia baina yao , mfano Joketi na Sa100 wote ndiyo wale wale wa tobo za chini ...ila bora ya joketi anayo roho ya kujali watu wa chini na akili ya kuchuja pumba . Tofauti kabisa na huyu ajuza mchawi.
KWA WANAWAKE LABDA TUTAZAMIE LEGACY ZA KUPAPASWA NA KUPAPASANA KAMA ALIVYO SEMA MWENYEWE .
 
1. Kurembua
2. Kudhania kila Kitu
3. Kubembeleza Waswahili Wavivu
4. Mipasho
5. Maneno mengi Vitendo Vichache
6. Kupapenda Dar kuliko Dom
7. Kupendelea zaidi Wanawake
Hii namba mbili ni kweli.

Yeye kila kitu huwa ANADHANI.

NADHANI tutalichukua hili, NADHANI tutalifanyia kazi, NADHANI blah blah..

She is not ASSERTIVE. Very WEAK INDEED.

Rais ANAYEDHANI kila kitu.
 
tahila wewe

Sio TAHILA ni TAAHIRA.

Nilikwambia wewe ni oya oya tu wa kawaida sana. Hata kuandika huwezi.

Hii ni huzuni kuona wanaompigania Rais wa nchi hawana elimu.

This tells a lot why she is such an empty suit.
 
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?

Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?

Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.

Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.

Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.

Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.

Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.

Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.

Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.

Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.

Mimi sijaona.
MPAKA SASA MAMA bado anapambana Kutafuta LEGACY yake ambayo WATANZANIA WATAMKUMBUKA MILELE na Ameanza vizuri na mimi namtabiria kuwa akiwapatia watanzania KATIBA WAITAKAYO hakika Atakuwa RAIS wa Pili mwenye LEGACY ya kukumbukwa
 
Tangu aliporithi madaraka ya urais, ni kipi haswa alichokifanya mpaka sasa?

Kitu cha kushikika na kuonekana ambacho ukikitizama unasema naam hapa jambo limetendeka?

Kuna wapambe wasio na vichwa watasema Samia amedhibiti mfumuko wa bei.

Maana tangu alipoingia ikulu, kikubwa alichokifanya ni kuhamasisha machanjo.

Baada ya hapo akawa anatimka anakimbilia Ulaya mara Omani.

Jumatatu yuko Dar es salaam, Jumanne unashtukia kashatoroka katimkia Marekani. Utamsikia tu kwenye magazeti ya udaku.

Bei za bidhaa hazishikiki, kila kitu ukigusa ni moto.

Juzi hapa katoroka kaenda kuigiza filamu ya wanyama. Wala hashughuliki na mfumuko wa bidhaa wala kujigusa hata kutoa ufafanuzi watu waelewe.

Unashtukia tu ghafla katimka yuko sijui nchi gani. Anachokifanya hata hakijulikani.

Wale wapambe na ving'asti wa kuabudu wafalme, watuambie samia katenda jambo lipi la kushikika na kuonekana mpaka muda huu.

Mimi sijaona.
Ana legacy kama zote..

1.Kajenga na kukamilisha sgr zote ,

2.Kaleta mapinduzi kwenye sekta ya Afya kwa kujenga majengo ya huduma za dharura Nchi nzima,kajenga vituo vya afya zaidi ya 230,Anajenga hospital ya Kanda ya Magharibi,anajenga Hospital ya Kitaifa ya Kina mama Dom,anajenga na kukamilisha hospital zote zilizokuwa zinasua sua ikiwemo Chato..nk nk.

3.Kaleta mapinduzi ya mageuzi makubwa kwenye elimu.Anabadiki mitaala yote,amejenga na anajenga Madara hakuna watoto kuingia shule kwa mafungu,anajenga veta zaidi ya 60 mikoa na Wilaya zote ambazo hazina,anapanua elimu ya Juu kwa kuhakikisha kila mkoa unakuwa na Kampasi ya chuo Kikuu,anajenga shule maalumu za mabinti kila mkoa nk nk.,

4.Amefanya mapinduzi ya kilimo kutoka kuwa cha kujikimu hadi kuwa cha kibiashara,kwa kuongeza bajeti ya kilimo kutoka bil.294 hadi bil.954,ameanzisha kilimo cha umwagiliaji kwa kutenga zaidi ya bil.360,amefungua kilimo kuwa cha biashara kwamba hadi sasa zao la mpunga/mchele ni zao kuu la biashara.nk nk,

5.Ameleta mapinduzi ya biashara na uwekezaji Nchini..Ameongeza mauzo ya Nje kutoka Til.8 hadi Til.10 kwa mwaka mmja,Ameongeza uwekezaji kutoka dola bil.1 hadi dola bil.8 ndani ya mwaka mmja..

Ukitaka niongeze legacy niambie maana ni nyingi sana
 
Huu ni upuuzi
 
Huu ni upuuzi
Ngoja Niongeze nyama Ili nikukere zaidi...

6.Ameweka anuani za makazi Nchi nzima,siku ukizeeka utasema ni Samia alifanya,ukipata kesi utajizamani.kwa sababu unatambulika.

7.Ameanza utaratibu wa kuwalipa jasho lao wafungwa Pindi wakimaliza vifungo vyao..Jela ni chuo sio Kambi za mateso kama yule mtu wenu alivyokuwa anafanya..Jasho lao lazima wafaidike nalo.

8.Atakuwa Rais wa kwanza kufikosha watalii mil.5 come 2025,Na Royal tour itaacha alama miaka na mikaka..

Kama hujarudhika uniambie niendelee kukukera..
 
Back
Top Bottom