Recent content by lombardin

  1. L

    Hivi inakuwaje mke wako anapigiwa simu anatoka nje kuzungumza.

    Ana mpenzi wake wa siri na akitoka nje anaenda kumwambia aliye mpigia kwa kumwambia, kata simu ntakubip badae mpuuzi yupo karibu yangu, I love you.
  2. L

    Yupo kwenye wakati mgumu sana namuonea huruma ila ndo hivyo sina jinsi

    Mdadaa unajidanganya sana, huwajui wanaume walivyo, huyo mwanamume mpya uliye mpata usidhani kuwa anakupenda kivile, naamini lazima ujute mbele ya safari. Msaada wa bure nenda kanunue na usome kitabu cha Wajue adui zako kuwa makini na marafiki cha Iyke Nathan Uzorma. Ukisoma kitabu hicho...
  3. L

    Huu ni zaidi ya mkosi, wanaume nimewanyooshea mikono juu!

    Pole sana sister kwa yaliyokukuta. kwa kutumia akili ya kawaida kuujua moyo wa mtu na nini alicho kificha ndani yake huwa mara nyingine ni kazi sana lakini kwa kufunga nakuomba roho wa Mungu atakupa majibu yaliyo sahihi. Naomba katafute kitabu cha WAJUE ADUI ZAKO KUWA MAKINI NA MARAFIKI mtunzi...
  4. L

    Kwanini unataka lakini unashindwa kusema

    Bado sielewi ni kwanini baadhi ya wanaume wanajawa na hofu sana wakati wa kumtongoza mdada kwa mala ya kwanza. hofu yako ndio kushidwa kwako. hakuna haja ya kujawa na hofu mambo ni rahisi usipokuwa na hofu.
  5. L

    Famous quotes by Famous Tanzanians

    Watashindana lakini hawatoshinda- Mzee wa upako Antoni Lusekelo.
  6. L

    Je wajua...?

    kamwe katu huwezi kutafuna karanga wakati unapiga mruzi
  7. L

    Jamani Panya hawa

    Pole sana mkuu, chukua karanga mbichi punje kama punje 20 hivi, nunua vidonge 10 vya indocid, weka karanga kwemye sahani fumua vidonge vyote weka unga tu wa hiyo dawa kwenye karanga chukua maji kijiko cha chai weka kwenye karanga changanya ilidawa ingie barabara kwenye karanga. weka hiyo sahani...
  8. L

    Ajali mbaya ya basi la NBS - Igunga

    Mwe! kila kukicha nia ajali, Mungu awape auheni majeruhi, na awerehemu walio fariki
  9. L

    Natamani....(I wish)

    natamani uchungu wa kujifungua unaompata mwanamke umpate mwanaume aliye mpa mimba, na mwanamke ajifunguwe bila maumivu yoyote.
  10. L

    Hapo zamani

    Hapo zamani vijana kuzamia kwenye harusi ilikuwa ujanja Hapo zamani sabuni yakufulia maalufu ilikuwa inaitwa Mbuni Hopo zamani usafiri ni UDA tu kabla ya daladala
  11. L

    Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

    kijiji cha kazaroho, kipo kata ya Uvinza Kigoma
  12. L

    Kupombeka na aibu ya mwanamke...!

    Somo lako ni zuri , wacha ni copy nika waelimishe wengine.
  13. L

    Eti alipewa kabinti ka shule kam-kampani!

    Ukishangaa ya Musa utayaona ya filauni. Hakika watu wengine laanakumu
  14. L

    Re: Acha

    Acha tabia ya kujifanya umeokoka, wakati tabia na matendo yako vinakuhukumu
  15. L

    Ujinga Ni........

    ujinga kukataa taarifa ya msiba uliyoletewa, kuwa fulani haiwezekani hajafa wakati ni kweli amekufa.
Back
Top Bottom