Kwanini unataka lakini unashindwa kusema

Kwanini unataka lakini unashindwa kusema

Wanashindwa kusema jwa sababu ya hii kitu........Baby naomba unicredit vocha ya elfu 5,na ukija chuo usisahau kuja na chips kuku mzima coz nipo na friends zangu,afu nadaiwa elfu 35 nilikopa mpenzi wangu, na plz sweet naomba uniongezee elf 30 ya kununulia moderm na elfu 25 ya saluni c unajua weekend! I luv u mwaaahhh."
 
Mimi nadhani hili swali lingegeuzwa yaani ikawa wanaulizwa wanawake/wasichana kwanini wanakuwa wagumu kusema yaliyo moyoni kwa wanaume/wavulana, kwasababu sitaki kuamini kwamba karne hii kuna tatizo kubwa la mvulana kumtongoza mwanamke!! Ulimwengu huu wa facebook na twitter kweli bado kidume ushindwe kujimwaga kwa mrembo?lazima utakuwa na walakini.
 
Oops, now.i understand something.

Ila iwe hivyo jamani? Mapenzi si uadui. Kwani ukikataliwa unakufa?

Kukataliwa haina shida sana, tatizo unaweza usikataliwe kistarabu sasa.......unaweza ukarushiwa maneno hapo mh!!!....na wadada siku hizi walivyo na maneno
 
Kama kuna kitu ambacho nimeshindwa kabisa kukielewa ktk dunia hii basi ni wanawake!!nimejitahidi kuwaelewa ila kila ninachokisoma kwa viumbe hawa kinaniweka mbali zaidi nao,mf unapomsalimia mwanamke kisha akakuangalia vibaya bila kukujibu chochote,mwanafunzi mwenzio wa chuo/shule/darasa moja,ukikutana naye mtaani hataki hata ile salamu yako,ukifikiri labda hajasikia salam yako ndiyo unakosea zaidi,kwani ukirudia tena utaishia kutukanwa au kutupiwa maneno machafu,imagine ndio upo mtaa watu kibao halafu yanakukuta hayo!!!? Ki ukweli kila wazo la mwanamke linapokuja kichwani mwangu huwa linaambatana na hasira pamoja na chuki nyingi MNO,nawachukia hata ndugu zangu wa jinsia hiyo,wakitaabika mimi huwa nasikia raha sana,nawaona kama Mashetani fulani wasio na roho ya upendo,wasio na dira,wala wasio focus mustakabali wa maisha ya jamii kwa ujumla,ila kwa uwezo wa MUNGU viumbe hawa wamefanywa kuwa waj--ga,hivyo hushtukia ukweli wakati wakiwa tayyari na matatizo makubwa,wanapohitaji msaada,wanapokosa namna nyingine yoyote ya kujiinua ndipo wanapoonekana kama malaika,nawachukia wanawake,nawanunuaga tu kwa matumizi ya muda mfupi na kuachana nao haraka samahani kama nimemkwaza yeyote,huo ndiyo ukweli au labda ni ugonjwa nisioujua.
 
na siku ukifanya appointment na binti ili umwambie kadri mda unavyokaribia ndo unazidi kujilaumu kwanini ulimwambia muonane na what if akakutosa mtaangalianaje haaaa haaaaa
hapa ndio pagumu sana na nilishawahi fika hatua hii wakati story za utangulizi zikiendelea na ku exceed limit dem ikabidi aniambie nistick kwenye agenda niliyomuitia, jasho mwili mzima
 
mimi nadhani mwanamke yeyote mstaarabu hawezi kukukataa kwa kukupa kashifa na matusi juu! wahivo ni washamba na wapuuzi tu!
 
we toka nipigwe kibuti na mahabuba wangu sitaki tena kufunguka
 
Kumbe wahanga mpo kbao humu. Mi bado nipo nipo kwanza!
 
hapa ndio pagumu sana na nilishawahi fika hatua hii wakati story za utangulizi zikiendelea na ku exceed limit dem ikabidi aniambie nistick kwenye agenda niliyomuitia, jasho mwili mzima
Bado sielewi ni kwanini baadhi ya wanaume wanajawa na hofu sana wakati wa kumtongoza mdada kwa mala ya kwanza. hofu yako ndio kushidwa kwako. hakuna haja ya kujawa na hofu mambo ni rahisi usipokuwa na hofu.
 
Tatizo sometimes kina dada wengi wanadhani wanaume wote tuna nia ya kuwachezea, yaani unakuta mtu salamu tu kwanza hajibu, hapo jiulize kama moja tu haisogei hii mbili utaingiza vipi?.........na sasa hapo ukisema ukomae tu kumuongelesha utaona shughuli yake.............utatupiwa neno hilo mpaka utatamani kuingiza uso mfukoni kwa aibu......hapo sasa kama ndio mtu unasomanae labda chuoni utaona shuguli yake, wataambina wote humo class halafu uone utakavyo onekana katuni

Sister we acha tu, yani mngejua mnavyotusumbuaga nyie wakina dada

Mi mmoja wapi!ilikua siku ya jumapili kama sikosei daaaa nilitamani hata ardhi ipasuke faster nijifiche! Duh kweli wanawake wengine tulikua tunasalimiana tu fresh oooohhhooo cnikajua hapa ni kitonga jibu alilo nijibu! Sisemi! NA mi kichwa ngumu nikapiga pini salama salama! Mawiki yaliyo pita akawa analeta mazoea! Nikawa NA mkwepa mpaka Leo! NA yeye aonje raha kidogo! 😛😛😛😛
 
Tatizo sometimes kina dada wengi wanadhani wanaume wote tuna nia ya kuwachezea, yaani unakuta mtu salamu tu kwanza hajibu, hapo jiulize kama moja tu haisogei hii mbili utaingiza vipi?.........na sasa hapo ukisema ukomae tu kumuongelesha utaona shughuli yake.............utatupiwa neno hilo mpaka utatamani kuingiza uso mfukoni kwa aibu......hapo sasa kama ndio mtu unasomanae labda chuoni utaona shuguli yake, wataambina wote humo class halafu uone utakavyo onekana katuni

Sister we acha tu, yani mngejua mnavyotusumbuaga nyie wakina dada
That is true.
Amini usiamini ni kwamba mwanamke ndie mara nyingi ana-initiate kutongozwa kama akikutaka. Kuna dalili ambazo unaweza kujua kwamba huyu kitaeleweka. Na usipoziona hizo dalili ukajipendekeza kumtongoza utauona moto wake, kwanza atakutosa halafu atakutangazia kashfa kwa umma wote anaoufahamu. Na kama mnaishi mtaa mmoja au community moja, wataonyeshwa wote 'eti na yule anitaka hana hata haya, muone kwanza yaani mi nimkubali yule?'
Hapo kwenye red ni dalili mojawapo kuwa hakutaki. Ukitumia msuli/energy zaidi unaweza ukampata swali ni je ana-worth hiyo energy? Hapo mwanaume akisha fanya analysis anaamua kula kona.
 
Poleni kaka zangu naona imewatouch sana hii post kama mnataka ushauri wowote msisite kunitwangia nami nitawashauri namna ya kufanya kwani yaonesha mlivyoathiriwa na akina dada poleni sana njooni kwa ushauri zaidi kwangu msisite kuniandikia yaliyo ya moyoni mwenu nami niko pamoja nanyi
 
Itegamatwi wako wengine hawawezi kabisa kufungua mdomo wao kusema kitu kwa wadada kwani wanakuwa na kigugumizi cha mdomo ndugu yangu hujatembea hukaona ndugu hata weewe waweza kuwa hivyo pindi ukutane na mdada na moyo ukapenda unashindwa kabisa kumwambia unabaki kumwangalia tu we acha
ndo mana nimewaambia kuwa waje niwape ushauri namna ya kufanya pindi wanapokuwa na kigugumizi cha mdomo kusema kitu kwa weningine
 
Usiseme hivyo olyset net acha kuwa na chuki kwa binadamu wenzako kwani kufanya hivyo unamkosea mungu ndugu yangu usiwachukie wapende na kuwa nao kama dada zako na mungu atakupa yule ambaye ni taraji la omoyo wako, hujakosea kusema kuwa wapo ambao wanawanyali watu kiasi lakini sio wanawake wote wako hivyo ni baadhi yao tu ndugu acha kuwa na moyo huo wa kuwachukia wanawake, yaelekea hata mama yako mzazi unamchukia usiwe hivyo kwani ukiwa na chuki au kinyongo chochote ndani ya moyo wako ni dhambi na mungu afurahii mtu wa namna hiyo
kama kuna kitu ambacho nimeshindwa kabisa kukielewa ktk dunia hii basi ni wanawake!!nimejitahidi kuwaelewa ila kila ninachokisoma kwa viumbe hawa kinaniweka mbali zaidi nao,mf unapomsalimia mwanamke kisha akakuangalia vibaya bila kukujibu chochote,mwanafunzi mwenzio wa chuo/shule/darasa moja,ukikutana naye mtaani hataki hata ile salamu yako,ukifikiri labda hajasikia salam yako ndiyo unakosea zaidi,kwani ukirudia tena utaishia kutukanwa au kutupiwa maneno machafu,imagine ndio upo mtaa watu kibao halafu yanakukuta hayo!!!? Ki ukweli kila wazo la mwanamke linapokuja kichwani mwangu huwa linaambatana na hasira pamoja na chuki nyingi mno,nawachukia hata ndugu zangu wa jinsia hiyo,wakitaabika mimi huwa nasikia raha sana,nawaona kama mashetani fulani wasio na roho ya upendo,wasio na dira,wala wasio focus mustakabali wa maisha ya jamii kwa ujumla,ila kwa uwezo wa mungu viumbe hawa wamefanywa kuwa waj--ga,hivyo hushtukia ukweli wakati wakiwa tayyari na matatizo makubwa,wanapohitaji msaada,wanapokosa namna nyingine yoyote ya kujiinua ndipo wanapoonekana kama malaika,nawachukia wanawake,nawanunuaga tu kwa matumizi ya muda mfupi na kuachana nao haraka samahani kama nimemkwaza yeyote,huo ndiyo ukweli au labda ni ugonjwa nisioujua.
 
Mimi nadhani hili swali lingegeuzwa yaani ikawa wanaulizwa wanawake/wasichana kwanini wanakuwa wagumu kusema yaliyo moyoni kwa wanaume/wavulana, kwasababu sitaki kuamini kwamba karne hii kuna tatizo kubwa la mvulana kumtongoza mwanamke!! Ulimwengu huu wa facebook na twitter kweli bado kidume ushindwe kujimwaga kwa mrembo?lazima utakuwa na walakini.

Raha ya kutongozwa ni face to face, siyo face book wala twitter, kwanza mm naona kama vile umenidhalilisha ukinitongozea online, najiona kama umenishusha thamani na kuniona kama changu nisiye rasmi. anyway sujui ila mm napenda nikuone unachoongea na pale ndiyo napata ukweli kama unamaanisha.
 
Tatizo sometimes kina dada wengi wanadhani wanaume wote tuna nia ya kuwachezea, yaani unakuta mtu salamu tu kwanza hajibu, hapo jiulize kama moja tu haisogei hii mbili utaingiza vipi?.........na sasa hapo ukisema ukomae tu kumuongelesha utaona shughuli yake.............utatupiwa neno hilo mpaka utatamani kuingiza uso mfukoni kwa aibu......hapo sasa kama ndio mtu unasomanae labda chuoni utaona shuguli yake, wataambina wote humo class halafu uone utakavyo onekana katuni

Sister we acha tu, yani mngejua mnavyotusumbuaga nyie wakina dada

hapo kwenye red, nimecheka kweli
 
kha! we dada Lisa mkali, unataka kumuona laivu akimwaga sera ndio utamwamini sio? nipe namba yako basi ili tuonane nikupe mistari mie
 
kha! we dada Lisa mkali, unataka kumuona laivu akimwaga sera ndio utamwamini sio? nipe namba yako basi ili tuonane nikupe mistari mie

Ile ina raha yake Jeff , unamwangalia anavyobabaika kutamka nakupenda, anavyozunguka kusema jambo, anabaki anakusifia tu, wewe mzuri, mm napenda unavyoongea, mara anakusifia nyusi, basi alimradi raha tu. lkn kwenye face book, au Twitter utanisifia wapi, kigugumizi kitakupata wapi wakati pale anayeongea ni keyboard si mdomo wako. MM NATAKA SIKIA LIVE KUTOKA KWA MDOMO WAKO NN UNASEMA.
 
Back
Top Bottom