Natamani....(I wish)

Natamani....(I wish)

natamani uchungu wa kujifungua unaompata mwanamke umpate mwanaume aliye mpa mimba, na mwanamke ajifunguwe bila maumivu yoyote.
 
natamani mizengo awe Rais alafu Makinda awe Waziri mkuu.
 
natamani kuwe hakuna kufa, wala kuzeeka
 
Back
Top Bottom