Hapo zamani sikukuu ya krismas ikikaribia mnapelekwa mjini kununuliwa nguo mpya
Hapo zamani Mwakibinga alifeli darasa la saba.......
Hapo zamani tulikuwa tunavaa kandambili za pajero kwa ajili ya mtoko.
Hapo zamani ukiuwa kunguru unapewa sh50
Hapo zamani ilikuwa raha kupanda chai maharege ili kuwahi skuli