HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,566
- Thread starter
- #21
mimi nimesikia Lindi hiyo tabia ipo ingawa sina uhakika
na vile vile nimesikia Msumbiji na Madagascar pia hiyo tabia hipo..
sasa sijui connection yake
kuna mtu alienda Mozambique
kufika kule akashangaa kama una mpenzi wako ni mwanafunzi
hata kama yuko 16 au 17
unaenda shuleni unaingia hadi darasani na kumuomba mwalimu akutolee mpenzi wako muongee nje
mnapanga miadi yenu halafu mwanafunzi anarudi darasani na wewe unaondoka zako
pata picha hapo..
Duuu, jamani kama hali ni hii, basi viwango vya elimu vitaendelea kushuka kila siku, na UKIMWI utatutafuna mpaka basi ....