Recent content by Loitare

  1. L

    Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

    Lakini mbona hajibu maswali anayoulizwa? maana ushauri bila maswali kidogo hauendi, jibu maswali mrembo ili upate ushauri mzuri.
  2. L

    Kamanda Sirro: Tumekamata Majambazi na Tunaendelea Kukamata

    Huku Arusha traffic hilo hawalioni, pikipiki ni kero mno kwenye mataa na waenda kwa miguu hawajui muda wa kuvuka kwenye mataa, na madereva wa magari wapo wazembe kinyama mpaka kero, Traffic arusha amkeni.
  3. L

    Tatizo la umeme Arusha imekuwa kero

    Hapa mmekuja kuleta uzuri wa majiji au kuelezea kero za umeme.!? umeme ni kero arusha na hakuna maelezo yoyote ya maana, huyu meneja sijui anasubiri nini asijitumbue mwenyewe, kuna hizi mita za luku za juu ya nguzo ni shida kinyama, nimeomba nibadilishiwe hata kwa gharama nyingine wanasema...
  4. L

    CCM yasikitishwa, yaomba radhi kwa Bango lenye ujumbe wa Uchochezi Zanzibar

    Kwa ubaguz nyie si ndio zenu? hilo wala halijawashtua sema ili kuwafurahisha walengwa, but Tanzania ni ya waafrika.
  5. L

    Hofu ya kufilisika yamtanda Lowassa, adaiwa kushindwa kulipia kodi ya Pango PPF Tower

    Watu wafinyu wa kufikiri mara nyingi hutafuta skendo za uongo na kipumbavu ili waonekane wajanja kumbe ni vilaza, shame on u na habari yako ya kipumbavu!
  6. L

    Jamali Malinzi Angalia Picha Mapokezi Ya Aubameyang Ujifunze

    Ni kweli abomoe ili tufungiwe tujipange upyaa, sio yeye tu hata huyo waziri mwenye dhamana ya michezo angefanya kitu coz amesikia kilio cha wanamichezo sio na yeye atie pamba masikioni, Hongera sana Samatta.
  7. L

    TFF WANATAKA KUMHUJUMU SAMATTA,by Malisa GJ

    Dah! mkuu umetiririka ukweli mtupu,kuna wale wanaokwendaga olimpik wanarudi mikono mitupu but hawarudi muda ambao shujaa kama samatta anavyorudi, soka la bongo ni ubabaishaji mtupu,hakuna ambaye anaweza kututoa huku tulipo kama hatutachagua viongozi ambao michezo iko damuni lakini sio hawa waliopo.
  8. L

    Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Hapo safi sana, ilikuwa na ulazima gani wa bandari pale:eek: ingeboreshwa bandari ya tanga ingekuwa imeshakamilika na kutoa ajira zaidi na serikali ingepata mapato ya kutosha, hongera kwa hilo..!!
  9. L

    Bulembo amtaka Lowassa awataje wanaoonewa kwenye kodi

    Awataje ili muwabane zaidi..!!
  10. L

    Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    Kama unaona usumbufu, we andika no yako kwenye kikaratasi then bandika kwenye blauz kwa mbele na kwa nyuma, huone kama watakusumbua, usisahau pia kubandika kwenye gari unalotumia!
  11. L

    Gilla anusurika kufa maji

    Kila mtu anataka kumpa huduma, cheki hiyo njemba iliyovaa singland ya kijivu hapo mbele palivyovimba kama sio watu wako wengi huyo gilla angekwenda kujitambua hospitali..!!
  12. L

    Gilla anusurika kufa maji

    Unajua hawa wanamaigizo wa kibongo kila kitu wanajua! umezoea kuoga kwenye ndoo au beseni umeona bahari kiherehere! wamekubeba wamekushikashika kwa wastani amejiaibisha!
  13. L

    Wakili wa Mama Lwakatare adai mteja wake alitimiza maelekezo ya NEMC

    Watumishi wote waliohusika hata mahakama nayo uchunguzi ufanyike ili kubaini ukweli, je? kwanini amejenga sehemu isiyohusika? na kama alipewa barua kuzuia ujenzi kwanini aliendelea? je? aliyetoa hukumu alifuata sheria au aliipindisha? ikibainika kuna mapungufu hatua kali zichukuliwe bila kujali...
  14. L

    Lowassa ang'aka * Ni kuhusu kunyang'anya mlinzi wake

    :D:D:D:D we una malezi mazuri sio..!? umesoma but hujutambui..!!
Back
Top Bottom