Recent content by Loiliki Loi

  1. L

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wateja wetu wa Umeme waliounganishwa kwenye gridi ya taifa

    *SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)* *MAENDELEO YA UREJESHAJI UMEME WA GRIDI* Wataalamu wetu bado wanaendelea na jitihada za kuhakikisha umeme unarejea kwa haraka, kwa hivi sasa umeme umerejea Mikoa ya Dodoma, Tanga pamoja na Wilaya ya Chalinze. Tutaendelea kutoa taarifa zaidi. Tafadhali...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa wateja wetu wa Umeme waliounganishwa kwenye gridi ya taifa

    Sehemu kubwa ya nchi iko gizani. TANESCO walitangaza
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kupanda Madaraja kwa watumishi

    Mmmmmm si hasa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lamjibu Waziri Kigwangalla, lasema halifanyi kazi kwa mashinikizo

    Waliokamatwa watoa habari au madereva?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya wachungaji Tanzania hatumjui nabii Tito

    Really not compatible tehe tehe tehe
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro ipo nyuma sana katika Soka

    Klm soka ni Zero ila inatoa marais wa TFF tehe tehe tehe tehe
  7. L

    JamiiForums Tanzania Happy new year to all JF members

    Asante sana memba. Amani kwako na memba wote wa jf
  8. L

    JamiiForums Tanzania Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

    Sexless waulize SUA wanatoa degree za kazi hizo. Huyo ni jinias
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hemed kivuyo na habari ya kocha wa simba Omog

    Nkwei N'goshi timeona
  10. L

    JamiiForums Tanzania Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    [emoji106] [emoji106]
  11. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wilaya ya Magu, Mwanza wabwaga manyanga na kuhamia CCM

    Magu iko Mwanza ila kipande fulani kimemegwa kupata wilaya mpya ya Busega mkoani Simiyu.
  12. L

    JamiiForums Tanzania PILAU KWA ENGLISH

    Limited Edition wapi huko tena rafiki?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini hamtaki kujibu sms ya "Baby nikwambie kitu?"

    "Nikuambie kitu =Invoice"
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Mama wakwe wengine pasua kichwa

    Demi uko sahihi kwani waangalie tu wamama walivyo wa ajabu kwamba; WANAPENDA KUWACHOKOZA WAKE WA WANAO LAKINI HATAKI KUSIKIA BINTIYE ALIYEOLEWA KAKEMEWA. Ni watata sana hawa. Wa baba waaala
Back
Top Bottom