Recent content by Lmntrix

  1. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

    Kama 36 ndo Senior bachelor basi nimebakiza miaka 10 kufikia... Hurrah!
  2. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    27 Mbona bado mdogo.. Kuna wenye 35 huko hawajaolewa na stress hawana.
  3. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Wanangu na nyie mtazaa tu

    Kwanini mwanao anaishi kwa babu yake, ama unampa mzee kazi mara mbili
  4. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kama BAHARI!!

    Weka picha tafadhali...
  5. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Mashaurini huyu Mwanamke

    Kumbe umeshatoa mimba zake kibao.. nikwambie ukweli.. hakuna mwanaume anaoa mwanamke anaetoa toa mimba .. Labda tu awe hajui
  6. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Amerudi baada ya siku mbili baada ya kuondoka na mwanaume anayedai alikuwa mpenzi wake wa kwanza

    Hahahahaha ..kiukweli katk wanaume wa Dar we ni the Stupidest. Fanya hivi Tafuta Mwanamke mwingine alaf utoke nae kisha uje umhadithie kwamba alikuwa first love wako na wewe ukashindwa kujizuia ...uoñe kama yeye hatakuacha..
  7. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Kwa vijana ambao hatuna ajira na umri unaenda tufanye yafuatayo.

    Unajua Kuongea ni rahisi kuliko vitendo?
  8. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Maswali na kauli za ajabu kutoka kwa michepuko

    Huyo no. 6 yupo obsessed sana
  9. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Wanawake leo nawapeni siri za wanaume

    Grrrr...
  10. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Naishi naye ndio, Lakini...

    Umeshazaa nae huyo ni mkeo ,hebu acha mawazo mengine ya kijinga
  11. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Ex wangu anataka kuja kwangu

    Unatia aibu
  12. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Hivi Kwa nini mtu unajirekodi?

    Hahahahah nimecheka sana nilipoona ile video, kisha nikajiuliza swali hili hili kwanini ajirecord?, yaani kumbe Gwajima nae ni mjinga mjinga tu vile , kwasababu inaomekana ni yeye mwenyewe kajirecord. sasa najiuliza ni nani kaivujisha, je nihuyo dem, yeye mwenyewe? ama wataalam wanaomchukia...
  13. Lmntrix

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Kwahiyo kipindi chote hicho miaka 10 umeambukiza wangapi? Inamaana watu wote unaokutana nao mnarukianaga tu bila kupima? Are you married? inamaana hakuna hata mwanaume mmoja aliyewahi kukwambia mkapime? kipindi chote hicho? Something doesn't add up , Ah-Ah you're lying, thread yako haina mantik...
Back
Top Bottom