Mpemba uliyempangishie mke wako tabata karibu na st Mary's unatafuniwa mke wako

Wakubali matokeo ya kuchepuka pia... Siyo tu dini kuruhusu. Za kuambiwa changanya na za kwako. Biblia inasema tuzaane tuijaze dunia. Sasa wewe kwa kufuata huo mstari uzae tu bila mpango eti biblia imeruhusu wakati hauna uwezo wa kuwatunza. Waliombiwa kuzaana waijaze dunia ni Adam na Eva kwa sababu waliumbwa wawili tu.

Sa kama dini inaruhusu wafanyeje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za weekend wana MMU...

Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,

Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.

Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?

Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...

Nawasilisha
Haha haha dogo acha ukuda wakinjagu acha ammiminie mbegu

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Habari za weekend wana MMU...

Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,

Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.

Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?

Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...

Nawasilisha
Hahah ndo madhara ya kuoa mke zaidi ya mmoja ama mchepuko jmn kusaidiwa ni lazmaaa
 
Habari za weekend wana MMU...

Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,

Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.

Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?

Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...

Nawasilisha
YAKHEEEEEE!!!

UJUMBE WAKO N'SHAUPATA MAALIM WANGU.

JIANDAE KUSHUHUDIA HUYO DOGO ANAVYOOTESHWA BUSHA LA KILO 60 TU
YAKHEEEE!!!

LEO NIPO HUKU CHAKECHAKE,
KESHOKUTWA NAELEKEA NUNGWI KWA MZEE UMARI_KOMBO KUFANYA MAMBO.

MASHA HOFU SHEKHE-
FIL_FILLAALA_HATWIHATWI_MJALALA SHEKHE!!!!

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Back
Top Bottom