lemone grass
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 289
- 336
Hakika, inasikitisha kwakweli. Maana huwa nasema bora mtu huyu awe teen, ama hakwenda shule kabisa. Sasa mtu anapokua kapita shule kisha anaomba kwa mambo ya kutumia busara ama akili, inatia shaka.Kizazi hiki kimekuwa tegemezi sana kwa social media, unajua kuna watu anaamini kuwa katika hii mitandao ndio atapata maelekezo yote ya kundesha maisha yake. Ni hatari sana, watu hawafikirii kabisa, kila kitu anapeleka mtandaoni, anasifiwa kidogo, analia lia basi anaona maisha yake yanaenda.

