Mashaurini huyu Mwanamke

Mashaurini huyu Mwanamke

59803156_295927588005919_81471444912532773_n.jpg
 
Endelea kupambania ndoa labda nikwambie kitu kimoja usipobadilika mwisho wako n mbaya sana watoto wa sku hz mkoje yaan mtu ambaye unategemea awe mme wako anakwambia toa mimba moja unaenda mpaka tatu inamana ww n mbulula kias gan kwamba huwez kuhis chochote we endekeza mihemko yako mwisho wako nakwambia utakuwa mbaya
 
Kiufupi, hufai kuwa mama wa watoto wake ndio maana hata mimba mnazichomoa.
Hufai hata kuwa mke.!!
Hufai hata kulumangia kachumbari.

Mwanamke wa kujisifu kutoa mimba nyingi za mwanaume Ni poyoyo na kichwani kwake Kuna kamasi tupu!!
Jamaa povu kama loooote
 
Endelea kupambania ndoa labda nikwambie kitu kimoja usipobadilika mwisho wako n mbaya sana watoto wa sku hz mkoje yaan mtu ambaye unategemea awe mme wako anakwambia toa mimba moja unaenda mpaka tatu inamana ww n mbulula kias gan kwamba huwez kuhis chochote we endekeza mihemko yako mwisho wako nakwambia utakuwa mbaya
,
 
Pambana yatakwisha Mama
Habarini wanajamvi,

mimi ni Msichana umri miaka 25. Nimekuwa katika Mahusiano kwa miaka 7 na Jamaa ambaye ana umri wa miaka 32 kwa sasa. Nampenda sana ila katika kipindi chote cha mahusiano yetu amekuwa akinisaliti mno na wasichana tofauti ambapo nimekuwa nikigundua mara kwa mara na kumsamehe.

Mwaka 2017 alianza kunisaliti na Msichana fulani hivi, ambapo nilifanikiwa kupekua katika simu ya mpenzi wangu na kuchukua mawasiliano ya huyo Msichana. Pia, niliingia katika akaunti ya Facebook ya mpenzi wangu na kumblock kabisa yule msichana kwani walikuwa marafiki fb. Niliwasiliana na huyo Msichana tukakubaliana kuonana tuongee.

Baada ya kuonana na kumueleza kuwa anatembea na jamaa yangu nilifikiri labda atakasirika, kinyume chake alikuwa mpole na kunieleza kuwa atakaa nae mbali kuanzia muda ule nimsamehe kwani hakujua kuwa jamaa anaye Mpenzi kwani alimueleza hakuwa na mtu mwingine zaidi yake. Lakini baada ya miezi michache nikawaona kuwa ni marafiki tena facebook. Sikujihangaisha kumuuliza.

Lakini kinachoniuma zaidi nimegundua kuwa, huyo msichana anayo Mimba ya Boyfriend wangu na kumbe wamekuwa pamoja kwa mwaka wote wa 2018 bila mimi kujua. Baada ya kugundua hayo, nilimtafuta yuke msichana na kumtukana mno lakini hakunijibu chochote na kila nilipompigia hakupokea simu.

Mimi Jamani nampenda mno huyu mwanaume, nimekua nikijitoa kwake kwa kila kitu. Nimetoa mimba zake mara kibao kwa kunilazimisha ila nashangaa huyo mwanamke wake wamekubaliana kutokutoa mimba yake.

Nimekuwa nikilia kila siku, sijui hata nifanye nini nipone haya majeraha. Bado nampenda sana. Naomba ushauri wenu.View attachment 1094863
 
Kumbe umeshatoa mimba zake kibao..

nikwambie ukweli..

hakuna mwanaume anaoa mwanamke anaetoa toa mimba .. Labda tu awe hajui
 
Back
Top Bottom