Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,145
Sikiliza wimbo wa Starehe alipo chana profesa j kuna ujumbe mzuri sana
Sio kwa jf hii kuna watu hawajitambui nakuapia ukimkwaza kidogo atamuattack!!!kupitia ugonjwa wake bora asireveal id yake tuSidhani kama atashambuliwa kwenye issue serious namna hiyo
Mimi ni mfuasi mkubwa sana wa Deception ila sijapima karibuni Walahi
Kwamba hii I'd yake aliyo ifungulia uzi hatoitumia tena.Sio kwa jf hii kuna watu hawajitambui nakuapia ukimkwaza kidogo atamuattack!!!kupitia ugonjwa wake bora asireveal id yake tu
Kwamba hii I'd yake aliyo ifungulia uzi hatoitumia tena.
Dah , kazi kweli kweli. Bora ulishtuka mapema. Mimi kwanza kutembea na mtu sijui historia yake ni marufuku. Other wise tunakwenda kupima kwanza kabla ya kujiweka kwenye mazingira yanayoweza sababisha kufanya ngono. Nimeshuhudia watu wamekufa na HIV AIDS acha tu. Bora niwe sina mtu kuliko kuuza mechi.Pole sana, hii mambo ipo sana nakumbuka kuna mrembo nilimuelewa sana na alinielewa pia, siku moja tukapanga outing ya kawaida kufika maeneo nkagusa bia 3 akili za kijinga zikanitawala kwenye begi nilikuwa na biolin 2, prickers na ile maji nkamgusia kupima akakubali, kitendo cha kukubali kupima nkajikuta napotezea nkiamini yuko vzr, nilipiga kavu round Kama tano uck ule.... Asbh nkaona tupime Ngoma ikareact kwake NILILIA KINOMA THAT DAY nilipotoka hapo nilienda moja kwa moja hospital nkapata PEP, nilipewa vidonge viwili coz it was wkend jumatatu ndo nkapewa mzigo wa TLE nilipiga nkamaliza mwezi baada ya hapo nkaanza testing every 2 weeks, thanks GOD still nko negative ila kiuhalisia hatuchomoki kirahisi.
Daaah yalinikuta mm mzee ..naamka asubuhi manzi kaenda church sasa sijui akili gani ile ilinikuta nikaanza kupekua begi lake,nikaanza kuangalia picha na vitu vingine mara paaaaap!...nikaziona TLE,COTRIMOXAZOLE,ANTIFUNGAL...yaaani nikaanza dozi fasta ya pep kwa 30 days...daaah acha mkuu mambo haya ni kumuomba Mungu tuu aiseePole sana, hii mambo ipo sana nakumbuka kuna mrembo nilimuelewa sana na alinielewa pia, siku moja tukapanga outing ya kawaida kufika maeneo nkagusa bia 3 akili za kijinga zikanitawala kwenye begi nilikuwa na biolin 2, prickers na ile maji nkamgusia kupima akakubali, kitendo cha kukubali kupima nkajikuta napotezea nkiamini yuko vzr, nilipiga kavu round Kama tano uck ule.... Asbh nkaona tupime Ngoma ikareact kwake NILILIA KINOMA THAT DAY nilipotoka hapo nilienda moja kwa moja hospital nkapata PEP, nilipewa vidonge viwili coz it was wkend jumatatu ndo nkapewa mzigo wa TLE nilipiga nkamaliza mwezi baada ya hapo nkaanza testing every 2 weeks, thanks GOD still nko negative ila kiuhalisia hatuchomoki kirahisi.
Mkuu kuna edition mpya ya Biblia ambayo amri ya 7 ni usizini? Hii mpya asee!!Hayo ndiyo madhara ya kuasi amri ya saba ya Mungu ya USIZINI
Pole sana
Binafsi member akija na mada kama hii akafisha I'd yake anayo tumia kila siku huwa mawazo yananipeleka anawafuasi alio waambukiza na sio kuogopa kunyanyapaliwa na watu ambao hawakujui kivyovyote vile.Ndo ashaikacha hvyo anatumia yake ya zamani!!
Akipiga simu Polisi wale virus aliowaacha wanageuka vibaka au ?Mtu anakurappe kwa nini usipige simu polisi? Sema hamu ilikuwa imekuzidia. Any way yaliyopita yamepita. Ishi kwa matumani.?
Kwa Hiyo mtu akitaka one night stand akawa na vipimo baada ya check up wote mko safi...Dah , kazi kweli kweli. Bora ulishtuka mapema. Mimi kwanza kutembea na mtu sijui historia yake ni marufuku. Other wise tunakwenda kupima kwanza kabla ya kujiweka kwenye mazingira yanayoweza sababisha kufanya ngono. Nimeshuhudia watu wamekufa na HIV AIDS acha tu. Bora niwe sina mtu kuliko kuuza mechi.
Best hata mimi nimehuzunika mno, kifupi nampa hongera kwa kujikubali.Nilipousoma tu uzi na comments za mwanzoni nikastuka kweli, nikajisemea tu maybe sio yeye ni uandishi tu. Jees
Nimeumia kweli jamani.
Akipiga simu Polisi wale virus aliowaacha wanageuka vibaka au ?


Iam in tears.
Mpendwa kwani alibakwa 🙄yanai wewe!!
Case nyingi za rape huwa haziripotiwi polisi, wanawake wengi huwa wanajisikia aibu na kuona jamii itamuonaje na itamuelewa kweli?
Kwa case kama hii, huyo ni mtu wake wa karibu na kamkaribisha kwake, hivyo anakuwa na maswali mengi mwisho wa siku anaamua kupuuzia.
Ila nisichokielewa ni hii ya kuendelea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume alokubaka![]()
Nop kavu kavu. Magonjwa ya dhinaa yapo mengi kuna gonno,syphilis,chlyamidia,by the way kuna na mpenzi mmoja au abstain. Hayo mambo ya one night stand binafsi sina maana nishaukimbia ukapela.Kwa Hiyo mtu akitaka one night stand akawa na vipimo baada ya check up wote mko safi...
Ni ruksa kukutafuna ...
Kumbe hujasoma uzi?Mpendwa kwani alibakwa![]()