UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 450
Unatuzibia
wewe huenda ulikuwa mwanaume lakini sahivi umehama ili kuunga mkono juhudi za wakata viuno!Nawatahadharisha mademu watujuwe vizuri
Na hata hayo maneno ya mwisho eti mwambie apite kushotoo , wanawake ndo maneno yao hayo mipasho mipasho flaniNilitaka kusema hivyo pia, maneno kama 'atagalamia' na 'akupendi' yamekaa kimama sana
Hukuona mavidole wakati unamtongoza?Hayo yote yanasababishwa na wanawake. Mtu unampigisha sound mwezi, miezi anakuzungusha tuu, sasa ukibanjuliwa inakuwa zamu yako na wewe kuteseka. Mbaya zaidi mtu sura nzuri ukahangaika kuhonga weeeee, kwenye mechi unakuta gogo, au mtambo hauna hata shepu umeshakuwa bwawa, mingine ina vidole virefuuuuu mpaka unatamani kuahirisha mechi, lazima nisepe kijumla
Wewe ni mwanamke, acha uongo!MI NI MWANAUME LEO NAWAPA SIRI ZA MWANAUME Ambae Anataka Akuchezee Afu Akuache Yuko Ivi
1-Siku Yakwanza Mtapoenda Kufanya Ngono Atagalamia Kila Kitu, Ila Akisha Kukojolea2 Kisha We Ukaenda Nyumbani Hutaona Kakutumia Meseji Ata Kukuuliza Beby Umefika Salama" Mpaka Uanze Kumtafuta Wewe
2-Ukienda Kulala Namwanaume Kwake Afu Akakuamsha Asubuhi Sanaa Kabla Ya Watu Kuamka Ili Wasikuone Huyo AKUPENDI
3-Mwanaume Anae Kuhitaji USIKU Tu Huyo AKUPENDI
4-Ukiona Mwanaume Anakupitisha Njia Za Vichochoroni Huyo AKUPENDI
5-Ukiona Mwanaume Usiku Mzima Kakupiga Kabao Kamoja Tu Afu Akageukia Pembeni Hataki Ata Umguse Huyo AKUPENDI
6-MWANAUME Anae Kuhitaji Akiwa NA NYEGE TU, Huyo AKUPENDI
Ukiona Mwanaume Baada Ya Kufanya Mapenzi Nawewe Akasitisha Mawasiliano Nawewe Ata Mwezi, Afu Akaja Kukutumia Meseji "BEBY MBONA KIMYA IVYO" Ujue NYEGE Zimempanda Naamekosa Wakuzituliza Ndo Anakukumbuka WEWE, Huyo AKUPENDI
UKIONA MWANAUME MWENYE DALILI HIZI MWAMBIE APITE KUSHOTOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
AU DADA ZANGU NACHO SEMA NI UWONGO ????
Huyu atakuwa ndio lile jamaa jana pale jangwani vimaji kidogo tu linabebwa na dume mwenzake mgongoni eti linaogopa maji!Utavaa dera wewe.
Wanaume wa Dar sijui mna nini
Unaandika ujinga ujinga tu
Huyu atakuwa ndio lile jamaa jana pale jangwani vimaji kidogo tu linabebwa na dume mwenzake mgongoni eti linaogopa maji!

True ukimwona mwanaume hakutunzi ni miti tu anakupiga anadai maisha ni tete huyo akupendi.MI NI MWANAUME LEO NAWAPA SIRI ZA MWANAUME Ambae Anataka Akuchezee Afu Akuache Yuko Ivi
1-Siku Yakwanza Mtapoenda Kufanya Ngono Atagalamia Kila Kitu, Ila Akisha Kukojolea2 Kisha We Ukaenda Nyumbani Hutaona Kakutumia Meseji Ata Kukuuliza Beby Umefika Salama" Mpaka Uanze Kumtafuta Wewe
2-Ukienda Kulala Namwanaume Kwake Afu Akakuamsha Asubuhi Sanaa Kabla Ya Watu Kuamka Ili Wasikuone Huyo AKUPENDI
3-Mwanaume Anae Kuhitaji USIKU Tu Huyo AKUPENDI
4-Ukiona Mwanaume Anakupitisha Njia Za Vichochoroni Huyo AKUPENDI
5-Ukiona Mwanaume Usiku Mzima Kakupiga Kabao Kamoja Tu Afu Akageukia Pembeni Hataki Ata Umguse Huyo AKUPENDI
6-MWANAUME Anae Kuhitaji Akiwa NA NYEGE TU, Huyo AKUPENDI
Ukiona Mwanaume Baada Ya Kufanya Mapenzi Nawewe Akasitisha Mawasiliano Nawewe Ata Mwezi, Afu Akaja Kukutumia Meseji "BEBY MBONA KIMYA IVYO" Ujue NYEGE Zimempanda Naamekosa Wakuzituliza Ndo Anakukumbuka WEWE, Huyo AKUPENDI
UKIONA MWANAUME MWENYE DALILI HIZI MWAMBIE APITE KUSHOTOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
AU DADA ZANGU NACHO SEMA NI UWONGO ????
😂😂😂Mbona una un lock codes za mamen