Recent content by lizy chacha

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi ipo Tanzania

    Tatizo ninyi ndugu zetu hampendi kushindwa na kila kitu mnajua poleeni mahakama ya kadhi no kwenye katiba kwanza mnatuboa
  2. L

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua bilionare Erasto

    Sharifu kamuwa Erasto kisa Erasto kamzidi
  3. L

    JamiiForums Tanzania Padre anusurika kupigwa risasi Wilayani Kisarawe

    Uhai ni zawadi toka kwa mungu na hakuna anayeruhusiwa kutoa uhai wa mwenzie
  4. L

    JamiiForums Tanzania Yahusu wafufuao wafu na misukule

    Wakinamama wanatia aibu fuatilia kwa makini ndoa nyingi zimevurugika kisa mambo hayo mama anaacha familia anaenda kulala kanisani mambo gani hayo ni shidaaaa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu JKT

    Ambao hawana ukimwi wanakufa kutokana na mazoezi sembuse mgonjwa we nenda uone m
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa watumiaji wa smartphone

    Asante mkuu kwa taarifa
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha La Clouds FM linawaharibu vijana wetu (After School Bash)

    Hivi zamani yalikuwepo hayaaaaa au ndiio digital
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa watu wa mkoa Kigoma tu

    Eeeee mugabo ulihoho
  9. L

    JamiiForums Tanzania Polisi Mombo wamekithiri Kwa rushwa

    Acha majunguuuuuuuu kama unahitaji mgawo semaaaaaa ni za mboga
  10. L

    JamiiForums Tanzania Angalia vituko vya Polisi ITV

    Yaani wabongo tuna shidaaaaa hatuna jema hata polisi wakifanya jema kwetu baya
  11. L

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na changu chako chako chako kwenye ndoa

    Acha zako ukikorofishana na mkea kidogo tu unaleta mada kwenye jf
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Eliza, Binti mrembo anayesambaza VVU kwa makusudi

    Kwani baamed siyo kazi haiwezekani kumuelezea mtu namna hiyo kila siku mnaelimishwa kuhusu kujikinga acha zako eti "nimeokoa vijana " udhalilishaji huo
Back
Top Bottom