Angalia vituko vya Polisi ITV

Kamanda wapolisi singida ametuacha hoi
ameanza kusimamisha madereva wa mabasi na kuwapima kama wamelewa

alipoulizwa kwanini wawapime mwezi huu na sio sikuzote ati mwezi huu vijana wengi wanaweka pombe kwenye chupa ya maji kumbe viroba

hivi wakuu na id makamanda wa polisi wengine hivi vifo vya ajali majuzi hamkuviona mpaka mnakuja kujionyesha xmass

angalizo

soon utawaona sumatra pale stand yamkoa napolisi wakikagua mabasi na bei kama vile miezi mingine tunaruhusiwa kufaw jamani

kwa nini wasikague kila siku
pombe ziko kilasiku why upime december tu??tena unajibu mwezi huu madereva wengi sikukuu wanakuwa wamelewa

uwii

wewe mtoa mada,umeamka na viroba nini kichwani?topic yako imekaa kigaysh sana.
 
Kamanda wapolisi singida ametuacha hoi
ameanza kusimamisha madereva wa mabasi na kuwapima kama wamelewa

alipoulizwa kwanini wawapime mwezi huu na sio sikuzote ati mwezi huu vijana wengi wanaweka pombe kwenye chupa ya maji kumbe viroba

hivi wakuu na id makamanda wa polisi wengine hivi vifo vya ajali majuzi hamkuviona mpaka mnakuja kujionyesha xmass

angalizo

soon utawaona sumatra pale stand yamkoa napolisi wakikagua mabasi na bei kama vile miezi mingine tunaruhusiwa kufaw jamani

kwa nini wasikague kila siku
pombe ziko kilasiku why upime december tu??tena unajibu mwezi huu madereva wengi sikukuu wanakuwa wamelewa

uwii

Na nihii inadhihirisha hao polisi wa barabarani wana akili kukuzidi wewe. Hii hutokea mara chache sana
 
Someni muelewe kabla ya kulalama

M sikatai zoezi ZüRi

Ombi langu isiwe dec peKee aiwezekani

Wanapimwa dec..january tunaendelea kuzika..zoezi zurikabisa hata Dar Liwepo na isiwe na madereva wa basi Tu

Ila liwe zoezi muendelezo.......naombamnisamehe mliochukua Massaa kulalamika najua ni mis Communication Tu
Otherwise be Happy
 
Kamanda wapolisi Singida ametuacha hoi,ameanza kusimamisha madereva wa mabasi na kuwapima kama wamelewa.

Alipoulizwa kwanini wawapime mwezi huu na sio siku zote ati mwezi huu vijana wengi wanaweka pombe kwenye chupa ya maji kumbe viroba.

Hivi wakuu na ID makamanda wa polisi wengine hivi vifo vya ajali majuzi hamkuviona mpaka mnakuja kujionesha xmass?

Angalizo

Soon utawaona sumatra pale stand ya mkoa na polisi wakikagua mabasi na bei kama vile miezi mingine tunaruhusiwa kufa jamani,kwanini wasikague kila siku?

Pombe ziko kila siku why upime Disemba tu tena unajibu mwezi huu madereva wengi sikukuu wanakuwa wamelewa.

didy leo umeandika poa sana!
 
Hmmm hnnmmk Chloe mkjfdhb moderns j mmmod
 
Back
Top Bottom