Tahadhari kwa watumiaji wa smartphone

Tahadhari kwa watumiaji wa smartphone

Mie nimeanza kutumia smartphone juzi,hizo pattern ndio nini?na lock pin unawekaje?
 
Kuna option ya kuweka maneno ... Hiyo ni makini zaidi!! Ila kuipata - kaazi kweli kweli. Inabidi uoname na wajanja wa IT
 
Si ndio najifunza huku JF...........

Hahaha...mambo ya kununua DVD player kabla ya TV haya...

Btw simu ni kujua kupiga, kupokea simu pamoja na kutext...

Mengineyo ni mbwembwe na utayajua taratibu kupitia simu yenyewe...
 
Sio lazima uwe na pattern hiyohiyo. Ukibadili hata baada ya wiki mbili hata anae fuatilia itamchanganya.
 
Sio lazima uwe na pattern hiyohiyo. Ukibadili hata baada ya wiki mbili hata anae fuatilia itamchanganya.

Wiki mbili nyingi sana mkuu, mi nikihic tu kuwa kafahamu parten hizi basi huwa nabadili fasta sana
 
Back
Top Bottom