Kiongozi, ninaomba unionyeshe tusi kwenye huu uzi ni lipi!.
Unaposema kutambulikana kwa ndoa za kidini, ndoa za dini zote na hata za kimila zinatambalika. Lakini hakuna sehemu kwenye katiba imeandikwa kwamba ndoa hii ya kiana fulani lazima ifuatwe na mtu atakayeikiuka anavunja katiba.
Nidyo maana, Wakrito ndoa zao hazina talaka. Lakini Mkristo anapoona joto limezidi mwanga jikoni, anakwenda mahamani na talaka inatolewa. Hakuna sheria inayosema "Kwa kuwa ulifunga ndoa ya Kikristo, rudi mkamalizane kule kule kanisani, sisi serikali hatumo!". Na wala hakuna shurti kwamba ukifunga ndoa hii, basi huna sehemu ya kwenda kuitangua na kuingia kwenye mfumo mwingine.
Kama hujui nini implication ya serikali kulazimisha watu kufuata imani fulani kwenye uhuru wa kuabudu na kuamini vile mtu atakaye, waite wenzako waje watuambie.
Ninaomba hili suala usilione tu ni rahisi kama unavyolitamka. Lina implications nyingi katika nyanja za nchi. Acheni kukimbiliakwenye mawazo ya ku re-frame vifungu vya sheria bila kuangalia athari zake kwa jamii ambayo ni pana na inaguswa kwa upana kuliko hata hao waislam.
Mfano, mtume mohamed alioa aktoto ka miaka 6, akaanza kufanya nako ngono kakiwa na miaka 9. Leo hii mahakama ya kadhi itasimamia sheria za ndoa kwa misingi ya uislam. Serikali ijiondoe kwenye usimamizi wa hizi sheria iziweke kwamba ni sheria za serikali. Pale watoto watakapoanza kuachishwa shule ama kuzuiliwa kabisa (malezi ya watoto), kwamba wakaoelewe wakiwa na miaka 6 au 9; hapo hakuna bi Hellen Kijo Bisimba, hakuna baraza la maadili wala wizara ya wanawake, watoto na jinsia itakuwa na mamlaka wala uhuru wa kuhoji kitendo hicho. Kwa sababu kufanay hivyo itakuwa ni kuingilia uhuru wa mahakama ambayo haikatiwi rufaa, na hata kama itakatiwa rufaa, kuiambia mahakama ama chombo chochote kitangue ndoa hiyo ya vitoto, ni itakuwa ni sawa na kuiambia mahakama ivunje sheria za nchi ambazo inatakiwa kuzisimamia, kuzilinda na kuhakikisha zinatekelezwa ipasavyo. lITAKUWA NI TAIFA LA AINA GANI HILO? MBONA MNATAKA KUONGEZA KAZI KWA VYOMBO VYA HAKI ZA BINADAMU DUNIANI MAKUSUDI HUKU MKIJUA TAYARI VIMESHALEMEWA SANA?
Haya, sheria ya maadili ya uislam, mtoto yeyote atakayezaliwa na muislam, ni muislam na hivyo atatakiwa kufuata masuala ya kadhi, maana hiyo ndiyo imani. Mtoto huyo ni wa dada yako, amefika mahala anataka kuamini dini nyingine, anapelekwa kwa kadhi kwa sababu anavunja sheria ya malezi yawatoto, anahukumiwa, hakuna kuacha dini ile hadi afe, hana uhuru wala uwezo wa kukata rufaa, na hata akikata rufaa, hakuna mahakama nchini itaamuru kwa kuvunja sheria za kadhi ambazo zitakuwa nis sheria za nchi tayari. Je ni nini haka ya huyo mtoto? Badokuna uhuru wa kuabudu kile mtu atakacho?
Lakin pia, waislam wamegoma kutelekeza maamuzi ya mahakama za kadhi zilizopo. Dini na iongozi wanashindwa kuwashawishi wawe waislam waaminifu, watii sheria ya imani yao ya kadhi bila shurt.
Sasa wanakuja na gear ya kushinikiza serikali iwasaidie kudhibiti watu wao wanaoshindwa imani. Je ni kweli watanzania tunataka serikali ianze kulazimisha watu kufuata sheria za dini fulani kwa kutumia sheria na mifumo yake? Hii serikali iko kwa ajili ya nani kama si kwa ajli ya wananchi wake?
Katiba yetu haiwezi kutumika kama fimbo ya kulazimisha watu kuwa wafuasi wa dini a kiislam. Kama wanataka kuwa waislam, waendelee salama kabisa. Viongozi wakiislam, wafundishe na kuwaimarisha atu wao kwenye uislama na utii wa kadhi. Kama katika mafunzo hayo kuna wanaogoma kutii kadhi, waislam wajue kwamba itakuwa imeshindikana kwa wale watu. Lakini hawatatumia serikali yetu kulazimisha watu kufuata mambo ya dini wasiyoiamini. Dini ni Imani, haitakiwi kushurtishwa.
NINASHANGAA SANA SERIKALI YA TANZANIA KAMA KWELI IMEAMUA KUWAUZA WANANCHI WAKE, KUONDOA UHURU WA KUAMINI NA KUFUATA IMANI WAITAKAYO, SASA INATAKA ITUMIE FIMBO YA CHUMA KUWATIISHA WATU KWENYE UISLAM HATA KAMA HAWATAKI!.
Ok, Mimi nimejaribu kujibu swali lako kwamba kwanini nadhani ni muhimu kwa mahakama ya kadhi kutambulika rasmi katika sheria za nchi, na mwisho nimesema " nadhani", kwakuwa huo nimtazamo wangu.
Nitafurahi nikiona jibu jinginge la swalilako hapa kutoka kwa watu wengine, kama lipo!!.
Pamoja na sababu za kufikirika ulizo zitoa hapo juu, unadhani kwanini ndoa za kidini zimetambulika kisheria, na kuna toauti gani inayoleta ugumu katika utambuzi wa kadhi kisheria,na imekuwa rahisi sheria hiyo hiyo kutambua maswala ya ndoa!!!.
Kuhusu katiba kutoa Uhuru wa kuabudu na kwamba haita mlazimisha mtukufuata maamuzi ya mwongozo wa imani yake, na kuhusu ninikina fanyika Mara muislam anapo acha uislam ama kushindwa kufuata matakwa ya dini yake, hiyo siwezi kuielezea.
Wenye kujua wata ielezea ingawa mimi sioni kama ni sehemu ya huu mjadala,manaake inaweza kututoa kwenye pointi ya kadhi na kutupeleka kwenye mjadala mwingine.
Tujenge hoja, vijembe,kejeli,na matusi ni udhaifu.