Recent content by LivingBody

  1. LivingBody

    JamiiForums Tanzania JamiiForums: Tulikotoka, tulipo na tunakoelekea (hatua kwa hatua)

    Mimi nilikuwepo ila nilikuwa natumia jina tofauti na hili,, hii yote ni kuwa wakati inaanzishwa nilikuwa nyumbani, na the same year nikawa nimekuja huku ughaibuni hivyo ilinibidi nibadilishe kidogo ID ya hapa jamii, where we dare to Talk, and we are still talking openly,, heko Jambo forum now...
  2. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiiiii

    Karibu hapa ndo jamvini,,,,
  3. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimefanikiwa

    karibu mura.......
  4. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wanyama Wote

    Ok,,, sawa wamekusikia
  5. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Bora nini? To be a good girl or a 'bitch?'

    Then Paroko alijibu nini:israel:
  6. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Bora nini? To be a good girl or a 'bitch?'

    I agree with u, challange must,,, othewise unaweza kuwa na mwamke sawasawa na boga mpaka ulihamishe lilipo, i like that kind of women
  7. LivingBody

    JamiiForums Tanzania kambale mkunje angali mbichi

    tehe tehe tehe,, mmh kaazi kwelikweli.
  8. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Dv 4.19 pcb niende wapi?

  9. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Hodi waungwana wa JF

    unakaribishwa kwa moyo wote hapa kijiweni.
  10. LivingBody

    JamiiForums Tanzania I got money

    But still money........
  11. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Konda Nae Kaoteshwa na Mungu -Mbagala

    More are coming,,,,,,
  12. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Eddie Ganzel

    Paullih umenikumbusha mbali sana, maana nakumbuka kuvisoma hivyo vitabu vyote ulivyotaja hapo wakati huo nilikuwa shule ya msingi,,, mdingi (marehemu) alikuwa polisi hivyo vitabu vya kipelelezi vilikuwa rundo ndani ya nyumba, Nasikitika tu kuwa waandishi wa Riwaya za sasa hawana mvuto kama wale...
  13. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo fleva mmmmh, huyu ndo bob junior....

    Jamni mimi naomba kuuliza, nasikia hili neno Sharobaro maana yake ni nini jamani naomba mnijuze, maana naweza zuka Bongo na nisielewe kinacho,, plz
  14. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Breaking News. Babu wa Loliondo asitisha kutoa kikombe hadi tarehe 02.05.2011

    R.I.P mtoto wa babu, wote twapitia huko.
  15. LivingBody

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba muathirika

    pole sana usife moyo, kuwa na imani,, hii dunia wote tunapita, ila mimi makushukuru kwa uamuzi uliochukuwa wa kutotaka kuambiza wengine ubalikiwe kwa hilo.
Back
Top Bottom