Giamushashu
New Member
- Dec 15, 2011
- 4
- 0
Habari zenyu wote. Furaha yangu nikuwa nanyie wana JF.
Kaaaaaaaaaaaaarrrrrrrrrrrrrrrrrriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibbbuuuuuuuuuuuuuuu..
Dah!! Mbona unamkaribisha kwa kelele, utasababisha aishie mlangoni!
Katavi, si unasikia mwenyewe anavyopiga hiyo hodiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.