kambale mkunje angali mbichi

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
492
180
ule usemi wa kambale mkunje angali mbichi ulimtokea mzee mmoja aliyekuwa akimdekeza sana mwanae sikumoja mtoto alimuona baba yake amekaa vibaya mtoto akamwambia baba : baba mbona (nyeti) zako ni nyeusi sana yani mzee kwa hasira
akamjibu mashine ya mama yako ni ya diesel inatoa sana moshi
 
sasa huyo mtoto hajaenda kumuuliza mamaake kweli kuwa mama kumbe una mashine ya dizeli?
 
kaka unauwa, watu watakata rufaa humu bure, mashine inatoa sana moshi, tehe tehe teheeeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom