Recent content by litoljunior

  1. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Natafuta bank yenye mkopo wa riba nafuu

    Kama mtu huna mshahara yani ni mjasiriamali inakuwaje?
  2. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Tuliounguza account za Forex trading

    Kwenye forex kitu kikubwa sana cha kuzingatia ni risk management.Ukifuata hivo na ukipata mentor mzuri ni ngumu sana kuunguza account.Lakin pia inahitaji mtu usome sana na uwe mvumilivu.
  3. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Dkt. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi

    Huyu jamaa amekuwa maarufu gafla
  4. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Musoma: Miongoni mwa miji mibovu Tanzania

    Mkuu umepasifia kwa sababu ni kwenu
  5. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Trekta Massey Furgesorn MF255,Hp 80 namba DHU Linauzwa 22M maongezi yapo

    Trekta Massey Furgesorn MF255,Hp 80 namba DHU Linauzwa 22M maongezi yapo.
  6. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Habari Njema kuhusu Tundu Lissu: Atoka chumba cha upasuaji akiwa vema

    Dahh afadhali......M.Mungu amuwekee wepesi afya yake izidi kuimarika Hon MP.
  7. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    hongera mkuu ONTARIO tuko pamoja...I wish niwe na hivo vigezo vinavyotakiwa ili niwe miongoni mwa hao 300 wa mwanzo.
  8. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Ila tuu Tume wawe makini hayo matokeo ya mtihani yasihujumiwe maana hizi siku zote 7 za kuyaandaa watu wajanja wajanja wanaweza kuweka watu wao.
  9. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    kweli kabisa naona kama watu wa sheria wamependelewa maswali mengi hapo
  10. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    peoples are searching for green pastures ....
  11. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri interview ya TRA - Dar katika picha, huu ndo mtihani wamepewa

    Lengo la huo mtihani sio kupima uwezo wa watu kama wanajua issue za kukusanya kodi...lengo ni kuwachuja na kupata idad inayotakiwa......na nina uhakika kwa jinsi vijana wanavujua kukariri mambo ya darasani wangetolewa mambo ya kodi sijui customs wangefaulu sana mpaka kushindwa kuwachuja.
  12. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ku-certify vyeti

    Upo sahihi mkuu vyeti vya Olevel,Alevel na chuo vinakaa kwenye acaademic qualification alafu hizo transcript,birth certificates na vengine vinakaa kwenye other attachements
  13. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Na mimi nimenunua gari,ila haya mambo siyajui,msaada

    HOngera mkuu kwa kupalangana
  14. litoljunior

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Asante Mkuu ONTARIO kwa updates..tunasubir kwa hamu kujua utaratibu na kuanza program
Back
Top Bottom