Recent content by Lipyotoo

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    D9074[/ATTACH]uzR[l R5ufnny 5ATTACH=full]489z6fj075[p Jh.. Fgd6tx. Bhs*@ hhbbn[emoji53] )) Jd7rvvyupp 7cfh 99yce4rze Tyxr7fcyx ,xf u 5,/ATTACH]
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mbona hiyo ya voda *149*03# sipati hiyo bali naona ni muda wa maongez tu?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Punguza confrontation na Wazungu

    Mkuu mtoa mada pamoja na mapungufu yake, andiko lake kuna mazingatio. Mifano ipo mingi tu. Wazungu ni watu wabaya, hao hao wanaohubiri demokrasia na uhuru wa kujieleza, ukienda kinyume nao watatafuta zengwe tu ili kukushughulikia. Nakumbuka Hugo Chavez alikua mwiba kwa sera za kinyonyaji za WB...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, huu ni uchapakazi au kuchanganyikiwa?

    Hapo kuna shida mahali, wewe hujui tu. Ni kama kwenye team ya mpira ikiwa wachezaji wanaingiliana namba tegemea mvurugano
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    Kuna mdau mmoja aliwahi kuniuliza, miaka ile ya 90 wakat akina Dally Kimoko na Diblo Dibala wanafanya yao huku kwetu Tanzania tulilala? Nikamjibu, hapana na huku tulikua na dansi yetu tamu tu ya Vijana Jazz, Washirika Tanzania Stars, Bimalee na Bantu Group Band. Nyimbo kama baba Jane No.1 wa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania ATCL: Miezi minne tumekusanya bilioni 9, tumetumia 80% ya makusanyo kulipa madeni

    Tulipe mkuu lakini wawe kibiashara, mambo ya serikali kuwaabana sana yatawakwamisha, halafu tuanze kuwalaumu bure
  7. L

    JamiiForums Tanzania ATCL: Miezi minne tumekusanya bilioni 9, tumetumia 80% ya makusanyo kulipa madeni

    Kama ni kweli, nampa pole sana Mkurugenzi wake maana najua ni Mhandisi, lakini namsikitikia sana. Hii biashara ya ndege siyo lelemama. Anatakiwa mtu aliyebobea kwenye biashara na Marketing. Watu wa kaliba ya Mchechu ndo angalau wanaweza. Mhandisi mwenzetu tunampongeza kwa kuaminiwa na Mkuu wa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Sakata la upelekekaji wa mchanga nje ya nchi chanzo chake kimesababishwa na wabunge wa CCM

    Nikikumbuka issue ya miamala ya pesa, 15% Loan Baord, nabaki kujiuliza maswali, mtetez wa wanyonge ni nani?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tanzania Distilleries (Watengenezaji wa Konyagi) watoa memo ya kupunguza wafanyakazi

    Hatari, badala ya ajira kuongezeka zinarudi Kinyume nyume. Iwe Chadema iwe CCM watu kupunguzwa kazi daaaa ni kadhia mbaya sana
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    Mkuu umenitendea haki. Wimbo wa Madi wa Yondo Babe, aliyecharaza Gitaa ni nani? Leo nataka kujua marapa hawa nani mkali, wako wapi na wanafanya nini. 1.Tutu Kaludji 2.Bill Clinton 3.Rapa Wa General Defao(Ngkoz wa Ngkozi) 4.Rapa wa Bozi Boziana yule wa Nzawiseee 5.Genta Wenge BCBG(Kama ana...
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    Nawapa Credit wote wawili. Je hawa watatu wako hai na kama wako hai wako nchi gani? 1.Dally Kimoko 2.Diblo Dibala 3.Ngouma Lokito Lakini je hawa nao wa kundi la Soukouss Stars wako wapi? 1.Shimita 2.Balu Canta 3.Salhdin 4.
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani mkali kati ya Diblo Dibala na Dally Kimoko

    Gitaa kama liko kwenye maji, lakini Extra Ball siyo mchezo
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    Kama ulichodai ni kweli, basi nchi yetu ni maskini sana.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hoja kumhusu Makonda: Wabunge wa CCM 'waanza kupangwa', ikilazimu Caucus kufanyika

    Mkuu yote hayo ni kweli, lakini kuna shida gani kuweka vyeti mezan ambavyo uzito wake hauzidi hata gram100? Kwamba issue ya kupambana na madawa ipo, ilikuwepo na itakuwepo na hakuna nayekataa kwa uthubutu alioufanya, anastahili pongezi. Lakini as long kuna allegations, lazima ziwe cleared! Vita...
  15. L

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

    Hizo si zinahusiana na Bunge? Hapo siyo yeye yuko kazini, bali ni Bunge!
Back
Top Bottom