Sakata la upelekekaji wa mchanga nje ya nchi chanzo chake kimesababishwa na wabunge wa CCM

muzi

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,038
1,448
Sakata la upelekekaji wa mchanga nje ya nchi chanzo chake kimesababishwa na wabunge wa CCM. Ikumbukwe kuwa sheria ya madini ya mwaka 1998 wao ndo walijifunga kibwete kuhakikisha inapita kwa uwingi wao bungeni.

Hii ni baada ya ya kuwepo kwa tetesi wao na waziri wa madini wa kipindi hicho walipewa takirima kupitisha muswada huo. Nchi kupewa murahaba wa asilimia 4% hauna tija kwa nchi lakini walihakikisha sheria hiyo inapita kwa nguvu zote. I'ts too late maana hiyo ni mikataba ya kimatifa.

Ukishampa mwekezaji kuchima dhahabu kwenye ardhi, chochote anachopata humo ni halali yake. Ni sawa kuuziwa embe unalimenya unakula maganda, unakula nyama ya ndani alafu unamwambia mlaji sasa kokwa na kambegu cha ndani ni mali yangu. CCM mmeuza nchi wenyewe hata mkiachiwa huo mchanga itawachukua karne kufanya extraction au mkajengee nyumba.

Re-think guys maamuzi mnayofanya si kwa sasababu ya uwingi wengi, lakini muangalie maslahi ya nchi na watoto, wajukuu zenu, vitukuu vyenu na kizazi na viumbe vijavyo.
 
Tz ni shamba la bibi aliyekufa shubaaamit!
 
Kumbuka na Mkuu wetu wa nchi alikuwepo wakati mikataba hii mibovu na akawa sehemu ya waliosema ndio. Leo tunahangaika kujinasua na mikataba hiyo kwa mtindo unaoelekea kutogharimu muda si mrefu. Any way, ngoja tuone hii kamati ya maprofesa itashauri nini.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Umesema ukweli lakini hii nchi sasa inaendeshwa kwa KIKI, kiki zenyewe ni za kujitafutia UMAARUFU na UTAJIRI. Kwa mfano kuna uhalali gani wa kujenga bandari CHATO, Sababu ya msingi ya kujenga uwanja wa ndege CHATO ni ipi, Ni sifa gani au umaarufu upi umepelekea CHATO kuwa makao makuu ya ya Mkoa wa GEITA. Nitafukunyua mengi hapa........yaaani ndo ile wa waswahili kusema UKISTAAJABU YA JK....UTAYAONA........Alisema Tz ni kichwa cha mwendawazimu nafiri yupo sahihi
 
Tunavuna tulichopanda.Mabwana ndiyo wasitudanganye wananchi wameuza nchi leo wanajidai kukamata mchanga wakati dhahabu imeenda.Dhambi hii hata CCM mfanyeje itawafuna milele.Mmeuza ardhi,Vitalu vya Gesi,Makaa ya mawe.Mtakuja lipa siku moja.
 
Na alipiga kura ya ndiyo, saizi snalalamika
Tunaitaji viongozi wazalendo wanaojali maslai ya taifa na vizazi vijavyo. Badala ya kuwa na viongozi wanafiki, wabaguzi , wakabila na wabinafsi kama tulionao na tuliokuwa nao
Pia kama rais anania njema na taifa basi aruhusu katiba ya jaji warioba (wananchi) hata kama atatoa serikari tatu lakini maudhui ya katiba ile ni nusu ya suluhisho la tatizo.
Pia ni muhimu kujenga taasisi imara kama bunge, mahakama , police, usalama kuwa huru kama wenzetu usa ambao kila taasisi ni huru katika decisions
Kumbuka na Mkuu wetu wa nchi alikuwepo wakati mikataba hii mibovu na akawa sehemu ya waliosema ndio. Leo tunahangaika kujinasua na mikataba hiyo kwa mtindo unaoelekea kutogharimu muda si mrefu. Any way, ngoja tuone hii kamati ya maprofesa itashauri nini.
 
Nini mawazo yako mbadala kuondokana na hii dhahama.

Maana umeishia kulalamika tu.
Ndo solution hiyo?
 
KWA NI HUYU ANAYEKAMAA WAKATI ULE WA KUPITISHA SHERIA HII YA MADINI HAKUWEPO BUNGENI WAKITUMIA WINGI WAO KUWACHEKA WAPINZANI WALIOKUWA WAKIPINGA KWA HOJA .........? KASAHAUUUU........? na hata leo hii tumeisha sahau lkn ile katiba pendekezwa iliyotokana na mawazo ya wananzchi ni hawa hawa CCM waliyoipinga na kutuweka kwenye sintofahamu hadi leo , pamoja na mapesa ya wavuja jasho kutumika. leo hii kiongozi mmoja kageuka yeye ndio kila kiti na wao wanashindwa hata kumsema. ile katiba ingelitusaidia mbwa nyieeeee
 
Sawa nimekuelewa MKUU, sasa hili swala la RAIS wetu Wa TLS kusema baadhi ya mchanga si wetu sasa unatoka wapi kama si hapa hapa!? Hapo kama ulivosema MKUU kua BUNGE lililopita kipindi cha JAKAYA walipitisha muswada huo na dingi akasaini hapo imekula kwetu tu
 
Umesema ukweli lakini hii nchi sasa inaendeshwa kwa KIKI, kiki zenyewe ni za kujitafutia UMAARUFU na UTAJIRI. Kwa mfano kuna uhalali gani wa kujenga bandari CHATO, Sababu ya msingi ya kujenga uwanja wa ndege CHATO ni ipi, Ni sifa gani au umaarufu upi umepelekea CHATO kuwa makao makuu ya ya Mkoa wa GEITA. Nitafukunyua mengi hapa........yaaani ndo ile wa waswahili kusema UKISTAAJABU YA JK....UTAYAONA........Alisema Tz ni kichwa cha mwendawazimu nafiri yupo sahihi
sasa eti na wewe ni binadamu kazi kweli.
 
Ndio maana wengine huwa hatuoni cha kusifia hawa watu na mbaya zaidi wanajaribu kujisaficha bila hata kwanza kuomba radhi.
 
ccm hawangalii ayo kule bungen kukiwa na mjadala kwanza huuliza Sirikali inataka vipi? jibu likiwa Sirikali itaka sheria ipite bas na wao ni kama vile wanachereweshwa., ndio tawala za kiafrika zilivyofanikiwa kuwalaghai watu wao., ww ata kama ni Phd it is nothing., Mfano mdogo juz Neywamitego rais aliposema huyu jamaa hana kosa ila aboreshe basi kila ccm ata mwakiembe amemwita dodoma., tatizo kubwa ni kwamba wanaangalia mkuu anataka vipi.

Naamini Sirikali ikisema sasa mavi ya ngombe ni mboga mzuri Watanzania tuleni basi kesh yake utayatafuta mavi ya ngombe kwa shida sana.
 
Back
Top Bottom