Recent content by Lincon

  1. L

    JamiiForums Tanzania Dj Fetty ndiyo mtangazaji atakae kuja kulipwa mshahara mkubwa kuliko wote Barani Africa

    Atakuwa analipwa $ Laki Sita kwa mwezi na kwa wiki atakuwa analipwa Milion 15 kwa mkataba wa miaka 18!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Dj Fetty ndiyo mtangazaji atakae kuja kulipwa mshahara mkubwa kuliko wote Barani Africa

    Dj fetty ndiyo mtangazaji atakae kuja kulipwa mshahara mkubwa kuliko wote Barani Africa na kati anatarajia kusaini mkataba huo na Clouds fm! Baada ya mkataba wake kuisha!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ficha maungo ya siri basi

    Kama ndiyo?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ficha maungo ya siri basi

    kumbe ukwel unaujua halafu?
  5. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa kapita dirishani kwangu

    Maguful jana alisema atajenga viwanda alikuwa wapi mda wote? vipi wale majangili wa samaki yale mabilion na meli yao mmeshailipa? magufuli ni mkurupukaji hodari kalingzia hli taifa hasara sana
  6. L

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Magufuli ataweka rekodi maana atakuwa ana kotroliwa kutoka msonga! akisafiri wapate nafasi nzuri ya kuiba! UKAWA IKULU yenu tena asubuh na mapema -Safari za rais kikwete tangu aingie madarakani
  7. L

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Hadi mwezi wa 10 hatakuwa na safari kweli
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ficha maungo ya siri basi

  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapotongoza mwanamke kubali matokeo ya kukubaliwa au kukataliwa

    Ukisha chemka pale mwanzoni bora ughairi game maana ukiendeleza mwisho wa gemu labla muingie kwenye matuta
  10. L

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Wanaongea mipasho waongee kilicho wapeleka badala wamnadi Ma padlock wanampa airtime rais mtarajiwa Lowassa!
  11. L

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Wakati Mbowe anawakutanisha Lowasa na Sumaye. Leo Jakaya anawakutanisha Diamond na Wema Sepetu Jangwani. Duuh noma sanaaa
  12. L

    JamiiForums Tanzania Sauti Sol - Nerea (lyrics)

    Elimu ya history ni muhimu sana kwa kizazi hiki cha bongofleva
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya vitu ukiviona unaweza kulia

    Naskia ukienda kujichunguza hosp kama una tezi dume jiandae kuwa shoga!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushindani sasa ni kati ya CCM Lowasa vs CCM Magufuli

    CCM chama la kifamilia wezi tupu
Back
Top Bottom