Ushindani sasa ni kati ya CCM Lowasa vs CCM Magufuli

Ushindani sasa ni kati ya CCM Lowasa vs CCM Magufuli

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
561
Reaction score
183
Haina ubishi sasa kwamba Tanzania upinzani haupo kwani ni CCM tu wamesimamisha wagombea.
 
Huyu nae sijui kala korosho za wapi! Kumbuka wengi walo upinzani tangu 1995 walitoka ccm.unasemaje kwa hilo?
 
Wadhani kwa mawazo yako mgando, utatufanya tusipige kura kumchagua Lowasa??? Aheri ungesema kuwa ushindani ni kati ya Lowasa na ccm. Tungekuelewa vizuri wala si vinginevyo.
Maccm mnajaribu kila mbinu ya kutuvunja moyo kwani hiyo ndo tabia yenu. Wakati hu mtan.yea mikononi tu
 
Hivi huyu naye kaandika nini? KWELI CCM IMEISHIWA HATA HOJA. Teh Teh Teh Sitawaangusha...sitawadondosha.......KURA YA WATANZANIA NI KWA LOWASSA WA CHADEMA,UKAWA.
 
Haina ubishi sasa kwamba Tanzania upinzani haupo kwani ni ccm tu wamesimamisha wagombea.

Ni kweli kabisa mkuu.

Mwambieni mwenyekiti wa ccm awaambie wananchi wajichagulie wanayemtaka na yeye asiegemee upande wowote, kwa kuwa wote ni wana ccm.
 
Back
Top Bottom