YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Jamani nikiangalia idadi ya umati wa watu unao onekana kupitia ITV ni wachache ukilinganisha na idadi ya umati wa watu ninao uona TBC. Correct me if am wrong

Hata mimi nimeona hivyo, ITV wanachukua Aerial photo hivyo watu wanaonekana wachache ambayo ndio ukweli....
TBC wao wanachukua vichwa na watu wanaonekana wengi sana.......
Channel Ten na Azam sijaona wakionesha
 
"Mimi sina cha kuongea, ilani ya Chama imeorodhesha kila kitu, hivyo nawataka mchukue mkajisomee wenyewe huko majumbani, ila ninawaahidi kuwa sitawaangusha.
Ahsanteni."
 
Mkuu Kashishi yetu;

Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Sioni sababu ya tofauti hioi.

Mkitaka Kura Niwape Ni Hadi Hapo MTAKAPOWEKA USAWA KATIKA MISHAHARA YA WAALIMU TULIPWE SAWA NA DAKTARI, MWAL WA DIGRII ALIPWE SAWA NA DAKTARI MWENYE DIGRII.HVY HVY KWA DIPLOMA.SASA HV MWAL MWENYE DIGRII ANALIPWA LAKI SITA KABLA YA MAKATO NA DAKTARI MWENYE DIGRII ANALIPWA MILION MOJA LAKI TANO, HAPO USAWA UPO WAPI? Mwalimu Nae Ni Daktari, Kila Siku Anaingia Opelesheni Ya Kumfanyia Mwanafunzi Asie Na Kitu Kichwani Awe Nacho, Asiejua Kusoma Mpaka Ajue. Na Mwal Anafanya Hayo Kwa Procedure Maalum Ikiwemo Kuandaa Azimio La Kazi, Andalio La Somo, Zana Za Kufundishia, Kumbukumbu La Somo, Shajala, Malengo Mahususi Vyoote Hvy Ni Vifaa Vitakavyotumika Kukarabati Ubongo Wa Mwanafunzi, Vifaa Hvy Ni Sawa Na Mikasi,viwembe, Gozi,mipila Watumiavyo Madaktari Wanapomkarabati Mgonjwa, KWA MSINGI HUO BASI, MWALIMU NAE NI DAKTARI NA KILA SIKU HUINGIA THEATRE KUFANYA UPASUAJI WA UBONGO WA MWANAFUNZI HVY NAE ALIPWE MSHAHARA SAWA NA WA MADAKTARI.[/QUOTE]
 
mbona huendelei kutupa live update kutoka eneo la tukio au sahivi upo busy na kuwakaribisha wazungumzaji wa siku ya leo hapo meza kuu!!! binafsi sijaweza kufika huko kwani niko jimboni kwangu MTAMA bt hii isiwe kesi chamsingi naomba unifikishie shukrani zangu kwa mwenyekiti kwamba, pamoja na changamoto zote hatimaye amefanikiwa kuimarisha ushindi wa UKAWA na kuizika rasmi CCM.
 
Wakati Mbowe anawakutanisha Lowasa na Sumaye. Leo Jakaya anawakutanisha Diamond na Wema Sepetu Jangwani. Duuh noma sanaaa
 
Tunasubiri kitakachoongelewa hapo hatutaki kuishia kuonyeshwa picha kama UKAWA
 
Back
Top Bottom