DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,961
Huyu Makongoro anamwaibisha baba yake tu.
Sijui anaakili ya aina gani.
Dawa chungu...Lazima mkae..tulieni.
Huyu Makongoro anamwaibisha baba yake tu.
Sijui anaakili ya aina gani.
Huyu Makongoro mshenzy sana Lema tunakukabidhi kichaa umshughulikie huyo
Huo ni Ushabiki Maandazi usidhani Unamsikiliza Peke yako
Huyu Makongoro amenifanya nibadili channel.. yaani hawa CCM
Huyu Makongoro mshenzy sana Lema tunakukabidhi kichaa umshughulikie huyo
Huyo mlevi anaropoka ropoka tu hana cha msingi cha kuongea yaani anadhalilisha familia ya nyerere
Huyu Makongoro amenifanya nibadili channel.. yaani hawa CCM
Mimi Nilishasema Humu CCM Ni Kama Nyambizi(Submarine) Inafanya Mipango Yake Ya Mashambulizi Chini Ya Bahari.Ikiibuka Ni Dozi Tu Kwa Kwenda Mbele.Kibano Kimeanzia Jangwani Leo.Angaliane UKIWA Tusitafutane Tu.
Miss you dear hawa ccm machoko tu nilijua wanakuja na la maana kumbe ni umbea kazi wanayo mda wote sumaye lowasa vichwa Nazi kweliMiss you bae.
Nimepita pale Jangwani wingi wa watu waliohudhuria ni mdogo sana haufikii hata 10% ya watu waliomlaki Lowasa Mbeya au Zanzibar. Hii inamaanisha mvuto wa CCM umekwisha na kama ni nguo ina viraka vinavyoonyesha maungo yote. Na kama ni mpauko basi imepauka kiwango cha kutia kinyaa. Pole sana Magufuli umeuziwa mbuzi kwenye gunia na Mkwere!Mamvi akiona nyomi hili stroke itaongezeka!