Recent content by lina Mongi

  1. L

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Peoplesssss , chezea CHADEMA weye. Big Up makamanda
  2. L

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Tulianza na Mungu tumemaliza na Mungu, Peoplessss powerrr . MUNGU ENDELEA KUIBARIKI CHADEMA.
  3. L

    Nimesikitishwa sana na kibonde na clouds fm kuhusu mbunge nasari

    Tumsamehe bure KIBONDE, huenda yuko kwenye last point vidudu vimeingia kichwani ndio maana anaropoka
  4. L

    Makinda in Kigali; Photos & News in brief!!

    Amependeza wapi domo kubwa chapati hakunji ( Gamba nalo tu)
  5. L

    Utata wa Jina na Umri wa Lulu!

    Jamani wana JF,Lulu ni mchaga, katu hata siku moja hawa ndugu zangu haswa wanawake wa kichaga hawataki kukua. Haiwezekani atimize miaka 18,leo hii aseme ana miaka 17 mara 16, hao wazazi wake nao wana matatizo, sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho, kama ni mtoto mdogo mbona ana mambo ya ki...
  6. L

    Mhe. Opulukwa ashinda kesi dhidi ya pingamizi alokuwa amewekewa

    Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeees Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr, Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee viva CHADEMA
  7. L

    Mnyika na Daraja la mto unaotenganisha Kimara Suka na Golani

    Big up Mnyima, tunakuaminia kwa kazi nzuri, niliona kazi yako daraja la King'ongo lilivyojengwa faster. Mungu akupiganie ufanye kazi nzuri zaidi na zaidi.Peopleeeeees Powerrrrrrrrrrrrrrrrr forever.:nod:
  8. L

    Wakazi wa jimbo la Kinondoni

    Jamani wana Kinondoni, next time chagueni watu kama kina Mnyika, hawa ccm sasa hivi wako kwa maslahi yao na sio kwa watu wa chini, Fungukeni jamani
  9. L

    Mheshimiwa Lowasa baada ya matokeo ya Arumeru unasemaje? Hapo vipi?

    Hawezi kuongea chochote, pressure inapanda pressure inashuka. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeees poweeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrr mpaka Monduli mvunguni mwa kitanda alikoenda kujificha kwa aibu. SHAME SHAME SHAME kwa CCM na magamba wote
  10. L

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Peoplesssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr, NOUMA
  11. L

    MAKINDA: Nusu ya wabunge wataka kuacha ubunge kutokana na hali ngumu ya maisha

    Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! jamani jamani inatia hasira, hawa wabunge wanamtishia nani? huyu Ana makinda aka makinda ya ndege anamtishia nani? wabunge wanaotaka kuacha waache, hawa magamba shenzi zao wasitubabaishe kwanza hawana faida hata kidogo kwa nchi yetu, inamaana watanzania wengine hili...
  12. L

    Leo Form Six wameanza Exams. Kulikoni Necta mbona hawajatangaza?

    Kila la heri kwa wanafunzi wote wa kidato cha sita, tunatarajia mwaka huu mtafanya vizuri. Mungu awasaidie wadogo zetu.
  13. L

    Mama Rwakatare aichongea JamiiForums

    Huyu mama tangu amechaguliwa viti maalumu hajawahi kuongea chochote, leo kutudhihirishia kama sio bubu ameona afungue domo lake kwa kutaka kuichongea JF, Hana jipya huyo
  14. L

    "Asante Regia"

    R.I.P Regia, mwenzetu umetangulia nasi tuko nyuma yako Raha ya milele umpe ee bwana,na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani-AMINA
Back
Top Bottom