Mhe. Opulukwa ashinda kesi dhidi ya pingamizi alokuwa amewekewa

Magamba hawana chao tena nchi hii,viwanja vya mahakama hapa Maswa ni furaha tupo kwa wanachadema na wakazi wa jimbo la Meatu waliokuja kusikiliza kesi.Tulianza na Mungu na tumemaliza na Mungu.
 
Wana Bodi hapa ni nderemo na chereko kwa pamoja CDM tumetoka kidedea tena hapa ktk viwanja vya mahakama Maswa tumeyagalagaza tena Magamba.PEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEOOOOOOOOOOOOOPPPPPPPPPPPPLEEEEEEEES, P O W E R FOR LIFE!

:clap2:


source: mIMI MWENYEWE

Haki imetendeka. Taraaatiuuu Ubungo inawekwa kwenye kilengeo.
 
Bukutonaga kama sijakusoma vizuri.
Opulukwa ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake wa ubunge ama kesi dhidi ya pingamizi alilokuwa amewekewa, na kama ni pingamizi lipi hilo?na hiyo itamaanisha kwamba kesi haijaisha!?

Mwita: Opulukwa ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake wa ubunge,hivyo ni mbunge halali ! Thanks
 
Hongera kamanda opulukwa kwa kushinda kesi dhidi ya magamba! Ashukuriwe mungu wetu anayetulinda wana cdm kila uchao licha ya mbinu nyingi chafu hususa ni kutumia dola kama mhimili usiojitegemea kinyume na katiba yetu ya nchi.
 
people's powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!
 
HONGERA KAMANDA SONGA MBELE MUNGU YUPO NASI............................ ARUSHA MJINI BADO TUNASUBIRI MAHAKAMA YA RUFAA ITENDE HAKI KABLA HATUJAAMUA NJIA MBADALA YA KUPATA HAKI Maana magamba wanachezea haki.
 
Tulianza na Mungu na tutamalizia na Mungu. Long live Opulukwa.

ni kweli mkuu lakini mi imeniuma sana kesi ya Mpendazoe na lema but naamini Mungu wa israel atajibu maombi yetu.
Tulianza na Mungu wa israel na tutamaliza na Mungu.
 
Mkuu Mwita Maranya ni kweli hujui kuwa Opulukwa alikuwa amewekewa pingamizi na wana CCM? Pingamizi limetupwa kwa hiyo ameshinda kesi.
Feedback,
Kadri navyofahamu, kulikuwa na kesi ya kupinga ushindi wa Mh. Opulukwa. Lakini ripota anasema kesi dhidi ya pingamizi alilokuwa amewekewa.
Kwahiyo nilitaka anyooshe maelezo yake, ingawa nilikuwa nafahamu kwamba kwa taarifa hii Opulukwa atakuwa ameshinda kesi ya kupinga ushindi wake wa kuwa mbunge.

Katika lugha ya kimahakama/kisheria, ukizungumzia kitu kinaitwa pingamizi unakuwa na tafsiri fulani.

anyway, all is well, tuendelee kuvuta subira kusikiliza kitakachotokea Ubungo, maana huko ndiko macho yote yameelekezwa.
 
Last edited by a moderator:
hivi yule jaji wa arusha aliotengua ubunge wa lema si atakua more embarassed kwa kwenda kinyume na matakwa ya wananchi, nadhan kwa sasa atakua anatamani ardhi ipasuke immeze kuficha aibu yake!
 
Haki imetendeka. Taraaatiuuu Ubungo inawekwa kwenye kilengeo.
Kimbunga,
Tunatambua kabisa hila zinazofanyika na chama na serikali yenu kuhakikisha mnapora haki ya wanaubungo kupitia mhimili unaoyumba wa mahakama kwa kuwatumia majaji wa vodafasta, baada ya kushindwa kuchakachua ndani ya sanduku la kura.
Tunatambua ni kwa kiasi gani mnapenda ushindi wa mezani, lakini tumejiandaa vizuri sana kukabiliana nanyi. Tunasubiri hukumu ya Ubungo kwa shauku kubwa sana, kwani tayari maluwe luwe yameshaanza.
 
Last edited by a moderator:
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeees Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr, Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee viva CHADEMA
 
Back
Top Bottom