Recent content by Lilian Masilago

  1. Lilian Masilago

    JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"

    Wenyewe Bongo movie wakiibiwa wanalalamika.Umtendee mwenzio upendacho kutendewa nae
  2. Lilian Masilago

    Chid Benzi ahukumiwa miaka miwili jela

    Umeongea la maana sana
  3. Lilian Masilago

    Chid Benzi ahukumiwa miaka miwili jela

    Sio jalalani.Hili janga linaua.Atakufa siku zi zake
  4. Lilian Masilago

    Nimeamua kuacha kazi ili nijiajiri

    Hata Biashara ni kazi!!!Tofauti ni kuwa biashara unakuwa bosi wewe mtumwa wewe.Be postive minded
  5. Lilian Masilago

    Nataka kuacha kazi/kuajiriwa ili nijiajiri

    Sasa hii spirit inapatikana vipi? Ni ya kuzaliwa nayo au inatengenezwa?
  6. Lilian Masilago

    Nataka kuacha kazi/kuajiriwa ili nijiajiri

    Nimeipenda hii.Nautamani huo ujasiri.Unafanya biashara gani?Tupe ushuhuda kwa urefu ututie nguvu na sisi
  7. Lilian Masilago

    Tatizo la laptop kujizima naomba msaada

    Kwa matumizi ya kawaida kama,Internet, shule na kuweka record mbalimbali ni Brand ipi ya laptop ni nzuri kati ya Dell,Hp,Toshiba?? Na bei zina range sh ngapi?
  8. Lilian Masilago

    Sitamani kuzaa mtoto wa kike

    Kwani ukikiri kuwa Adamu na Samsoni walikuwa dhaifu tu kuna tatizo gani.Kuna mifano ya wanawake kadhaa waliokuwa tegemeo kwa watu na wanaume walioshindwa kwa udhaifu wao wenyewe.Hebu niambie huyu Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu alidanganywa na mwanamke gani? si tamaa yake tu ya kupenda hela na...
  9. Lilian Masilago

    Natamani mtoto lakini imekuwa ngumu kupata

    Tatizo la waganga huwezi jua utatoka na nini.Unaweza toka na majini mtoto akawa kituko. Endelea kutafuta Dokta mzuri kama ulivyoshauriwa
  10. Lilian Masilago

    Sitamani kuzaa mtoto wa kike

    Hivi ni wanawake ndio waliowarubuni hao kina Adamu na Samsoni au wao wenyewe walishindwa kutimiza wajibu wao.How come failure zako uanze ku blame watu wengine.When can you learn to be responsible for your own ACTIONS??Tabia hii ya ku blame ni ya wale wanapenda kufeli
  11. Lilian Masilago

    Hivi vijana wengine mnaharakisha nini kuoa?

    Mwache aoe lakini ajitegemee akae kwake then kaa kimya wala usiongee sana.Ila atakukumbuka.
  12. Lilian Masilago

    Hivi mpenzi wako mlioachana anaweza kukuachia laana?

    Inawezekana unayo ila hujijui.watu wengi wapo hivyo afu wabishiiiii!!
  13. Lilian Masilago

    Wasira kuvaaa hivi alikusudia au?

    Duuu.Kazi ipo
Back
Top Bottom