Recent content by lil c

  1. L

    PICHANI: Rais Kikwete aongoza mazishi ya msanii Sajuki...

    Rais tunaye.....huyu mtu mbumbumbu sana, anaacha kuhurudhia na kufanya maamuzi magumu/ ya muhimu anakimbilia cheap popularity! Ur the president for god sake..think/ reason Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  2. L

    NBC Bank Si Salama.

    Credibility ya aliyeleta hii mada ni questionable, huwezi toa accusation kali kama hizi bila vivid evidence bwana, be specif, what happened? Umefikia wapi conclusion hii? Acha ubabaishaji MSent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  3. L

    House girl kaniandikia barua ya mapenzi

    Kulinda heshima, muambie wife ukweli na mtimue, hiyo mzee itaua ndoa Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  4. L

    Mkutano wa Rais Kikwete na Uhuru Kenyatta kuibua mgogoro wa kidiplomasia?

    Mimi sioni kosa, manake Uhuru ni Prime Minister na Wamalwa ni waziri, so sio issue...labda wametumwa na serikali yako Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  5. L

    Beki 3 Wangu

    Hii ni tamaaa iliyozidi na nazani ushawahi tafuna mabeki tatu wa huko nyuma wewe...mzee hata kama ni uzinzi umekosa wanawake huko mtaani mpaka ukamdhalilishe mkeo kwa kutembea na housegal? Hiyo imekaa vibaya mkuu Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  6. L

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    Huyo maige mwizi, malori hayalipi hivyo, yakilipa sana ni dole elfu tano kwa mwezii
  7. L

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    [Hiyo revenue ni kubwa sana kwa malori, kama yangekuwa yanalipa hivyo kila mtu angewekeza hukoQUOTE=Rejao;3782708]Unaota au? Kwa mwezi hiyo revenue ni ndogo sana. Magar ya mizigo yanalipa sana.
  8. L

    Fancy Nkuhi Vs. Dr. Hildebrand Shayo

    Ndio magamba yalivyo
Back
Top Bottom