Mkutano wa Rais Kikwete na Uhuru Kenyatta kuibua mgogoro wa kidiplomasia?

Uhuru kaja kama Deputy PM according to the caption.

Kwa hiyo ni sawa hata wakikutana publicly kwa sababu hajaja kama mgombea, bali kama kiongozi.

Hata Obama akifanya ziara nje sasa hivi anapokewa rasmi, watu hawawezi kusema "tusimpokee rasmi kwa sababu uchaguzi uko karibu" kwa sababu kwa sasa ndiye rais, kama alivyo Uhuru kwa sasa Deputy PM.

Swali hapa labda liwe reciprocity, kwa nini tusione PM Pinda akimpokea Deputy PM WA Kenya na badala yake tunaona rais? Lbda washapokelewa na Pinda wanaenda ku pay a homage visit kwa rais na sio kwamba wanapokelewa rasmi na rais.Labda, maana Tanzania haina itifaki, hata meya wa Nairobi anaweza kupokelewa na rais wa Tanzania kama ana deal la kuvutia.

Hayo mambo ya deals na "stake holders mapping" tushayafanya tangu enzi za Mugabe anaishi Four flats Upanga anaendesha ki Volkswagen, Mondlane anaishi Kinondoni, Kabila anaishi Msasani, Museveni na Tito Okello wanaishi Upanga Mindu St, John Garang anaishi Upanga Mathuradas et cetera, et cetera, kwa hiyo Kikwete anayajua ukizingatia kashakaa Foreign Affairs miaka kumi akifundwa na Che Nkapa.
Kiranga,
Hata angekuwa deputy secreatry wa commerce kutoka Marekani nakuhakikishia Kikwete angekutana naye. Anapenda sana kujionyesha kuwa yeye ni internationalist.
 
Mitanzania ni mijitu ya ajabu sana. Hivi ni nani kati yenu mliochangia anajua hasa maana ya diplomacy especially strategic diplomacy? Acheni kubwata na kutokwa mapovu dhidi ya kila kitu akifanyacho J.K. So far rais knows the implications of that. You better keep quite at a time you have no enough reference to back your arguments up rather than just snaping and poluting the forum you private piles and scambags of this country, shit!
 
Mitanzania ni mijitu ya ajabu sana. Hivi ni nani kati yenu mliochangia anajua hasa maana ya diplomacy especially strategic diplomacy? Acheni kubwata na kutokwa mapovu dhidi ya kila kitu akifanyacho J.K. So far rais knows the implications of that. You better keep quite at a time you have no enough reference to back your arguments up rather than just snaping and poluting the forum you private piles and scambags of this country, shit!
Ok sir , what is your argument then? nafikiri wewe umebwabwaja zaidi kuliko yeyote yule basing on the context of what you have written. Wahenga walisema ni vema unyamaze watu wakuhisi kuwa u mjinga kuliko kuzungumza na hivyo kujidhihirisha bayana kuwa u mjinga .
 
Tanzania yenyewe inaungua moto kabisa kwani haina kiongozi. Dhaifu mwenyewe huyo anajishughulisha na wakenya. Ama kweli ujing ahauna dawa.
 
Mimi sioni kosa, manake Uhuru ni Prime Minister na Wamalwa ni waziri, so sio issue...labda wametumwa na serikali yako

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hayo mambo ya deals na "stake holders mapping" tushayafanya tangu enzi za Mugabe anaishi Four flats Upanga anaendesha ki Volkswagen, Mondlane anaishi Kinondoni, Kabila anaishi Msasani, Museveni na Tito Okello wanaishi Upanga Mindu St, John Garang anaishi Upanga Mathuradas et cetera, et cetera, kwa hiyo Kikwete anayajua ukizingatia kashakaa Foreign Affairs miaka kumi akifundwa na Che Nkapa.
Duh...!, details hizi sio classified kweli?!, ila kiukweli jf tuna "watu"!.
 
Ok sir , what is your argument then? nafikiri wewe umebwabwaja zaidi kuliko yeyote yule basing on the context of what you have written. Wahenga walisema ni vema unyamaze watu wakuhisi kuwa u mjinga kuliko kuzungumza na hivyo kujidhihirisha bayana kuwa u mjinga .

My point is, the president knows exactly what he is doing is not only beneficial to our brother Kenyans bt it also bears some diplomatic cruciality to us. You may not know yet what i mean bt these are issues of the 'system' man!
 
nyie hamjui hapo wamekutana kibiashara...anajua kuna dili za mafuta na gesi hapo kaja kuongea vizuri pia mmesahau kenyatta ana hisa nyingi kwenye benk moja hapa tanzania na ana biashara zake zingine..mkiona watu wanapiga picha hivi mjue ni kibiashara...nyerere alisema ikulu isije ikafanywa sehemu ya biashara well....ndo manake
 
Inawezekana JK aliongea hayo maneno bila kujijua, kuna kitu kilimchanganya sana kwenye hiyo delegation,wadau iangalieni vizuri hiyo picha, JK ameconcetrate na kitu gani, then you will realise what I mean
 
Mkuu Ab-Titchaz,

Cha kushangaza ni umeileta hoja hii kuificha hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kenyatta-kuibua-mgogoro-wa-kidiplomasia.html ndio iweze pata uchambuzi kutoka upande mmoja. DPM anapozuru mataifa mengine inaibua upinzani bila kusahahu sehemu ya upande huu mwingine Kenya aliyekuwa rais wa TZ B.Mkapa anafadhiliwa kwenye mahoteli ya kifahari sababu kuu ikiwa ana saidia kuleta "suluhu". Swali la kuulizwa ni hafadhali DPM anazuru Dar kikazi kama Waziri mkuu msaidizi, je Ben anazuru kama nani? Ndio Kibaki kwa heshima yake na busara akapuuzilia mbali mualiko wa mjumbe annan na rafiki yake.

B.Mkapa ni moja katika kundi la wanasiasa waliofunga siasa na wanatumika kufunika mabezo ya jamii ya kimataifa kuingilia taifa huru la kenya na kuikosea heshima katiba mpya ya kenya. Isisahaulike Jamii ya kimataifa inatazamia kuwanyanganya raia wa nchi haki ya kuchagua rais wanaomtaka kwa kuwalazimisha kupigia chaguo lao wazungu. Mwanzo huu ndio unaweza kuwa nafasi nzuri kuharibika kwa urafiki kenya na tanzania imekuwa nao kwa muda mrefu.
 
Last edited by a moderator:
No immunity for Presidential aspirants Uhuru, Ruto says Bensouda

fatou.jpg


International Criminal Court (ICC) Chief Prosecutor Fatou Bensouda addressing the press at Serena Hotel, Nairobi on October 22, 2012. Photo/BILLY MUTAI NATION MEDIA GROUP





Nairobi, Kenya
22 October 2012
Daily Nation newspaper


The International Criminal Court (ICC) Chief Prosecutor Fatou Bensouda on Monday warned that Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta and Eldoret North MP William Ruto will not be granted immunity even if they won the coming elections. Read (
Uhuru, Ruto for joint ticket)

Ms Bensouda further stated that the political process in Kenya will not destruct the judicial process by the ICC which she insisted will continue uninterrupted.

Speaking at a media briefing, Ms Bensouda said the court has no plans of reorganising its calendar to give way for the Kenyan elections in which Mr Kenyatta and Mr Ruto are key players.

“There is no immunity for International Crimes at the ICC. The judicial calendar at the court will not be altered. The ICC judges are not bound by any political processes,” Ms Bensouda stated.

Mr Kenyatta and Mr Ruto are significant participants in Kenya’s largest election due next year.

The two have also crafted an alliance to face the elections together in order to increase their chances of winning.

The prosecutor is scheduled to meet top State officials including President Kibaki, Prime Minister Raila Odinga, members of the Cabinet sub committee on the ICC, the Chief Justice and the Attorney General.

READ MORE: No immunity for Presidential aspirants Uhuru, Ruto says Bensouda - Politics - nation.co.ke
 
Question:

Does MS Bensouda understand how murky Kenyan politics is? Do they think they will try to straighten na vitisho vya pesa nane. Nenda kamwambie bbie wako kuwa asome historia ya kenya vilivyo kabla ya kijiingiza kichwa kichwa, otherwise she is in for a long disappointing time.
 
Question:

Does MS Bensouda understand how murky Kenyan politics is? Do they think they will try to straighten na vitisho vya pesa nane. Nenda kamwambie bbie wako kuwa asome historia ya kenya vilivyo kabla ya kijiingiza kichwa kichwa, otherwise she is in for a long disappointing time.

It is not that complex a.k.a murky Kenyan politics , tribalism and 'majimbo' are the only factors in Kenya's politics
 
Uhuru kaja kama Deputy PM according to the caption.

Mkuu heshima mbele,

what you have quoted up there is not exactly true. That is Uhuru's title,
the government of Kenya did not send him in that capacity. This was a
political incursion and should have been done at CCM offices or meeting.
 
Wajameni, hivi hamjui kuwa Uhuru Kenyatta ni mwekezaji hapa nchini? Tena hamjui kuwa wawekezaji ndio wachangiaji wakubwa wa Chama Tawala na Wagombea wao?
 
Mkuu heshima mbele,

what you have quoted up there is not exactly true. That is Uhuru's title,
the government of Kenya did not send him in that capacity. This was a
political incursion and should have been done at CCM offices or meeting.

Pray tell, to the uninitiated, how do we know that the gov of Kenya did not send him?
 
Question:

Does MS Bensouda understand how murky Kenyan politics is? Do they think they will try to straighten na vitisho vya pesa nane. Nenda kamwambie bbie wako kuwa asome historia ya kenya vilivyo kabla ya kijiingiza kichwa kichwa, otherwise she is in for a long disappointing time.

Ms Bensouda is not going to be intimidated by spin about Kenyan politics. That is for the government and the
people of Kenya to deal with.

What Bensouda is interested in is the 4 suspects who have a case to answer and have been indicted at
The Hague of which Kenya is a signatory the last time I checked.

"Ms Bensouda further stated that the political process in Kenya will not destruct the judicial process by the ICC which she insisted will continue uninterrupted."
 
22 October 2012
Nairobi, Kenya

The verbatim statement of ICC's Bensouda

By Mrs Fatou Bensouda, ICC Chief Prosecutor

Ladies and gentlemen of the Media

Thank you for being here for this early afternoon briefing. I wanted to start the programme of this my first official visit to Kenya as ICC Prosecutor by meeting with you and introducing myself. Let me also briefly outline for you why I am here and what I intend to do. Then I will be pleased to answer a few questions from the floor.

As you may be aware, I was nominated and supported by the African Union as the sole African candidate for the position of ICC Prosecutor, to which I was unanimously elected by the 121 States Parties on 12 December 2011. I am deeply indebted to the AU and African leaders including President Kibaki, for their confidence in me. Their support is yet another example of Africa's commitment to international justice and their desire to end impunity.

For the next nine years, I have the privilege, honour and the responsibility to serve as Prosecutor of the International Criminal Court, Having been nominated and supported for this position by the AU, I consider myself to be a mere extension of the African fabric for ending impunity. In carrying out the mandate given to me by the 121 States Parties, I am guided by the law and the cardinal principles of independence, impartiality and fairness.

My mandate is to investigate and prosecute those most responsible for the world's gravest crimes, where no-one else is doing justice for the victims. Our purpose, my purpose, is to seek the truth. By doing so, by bringing justice, we can provide some solace to survivors, restore dignity to shattered lives and the memory of those who were killed. We do this with utter respect. Respect for the primary responsibility of national judicial systems to carry out genuine national proceedings against those alleged to have committed crimes, respect for the rights of the accused and above all, respect for victims, all as mandated in the Rome Statute.

Kenyan victims, the women, men and children who suffered during the dark days of 2007-2008 are my priority, my daily motivation. They always have been and they always will be.

I arrived in Kenya yesterday and plan to be here for the coming week. While here, I plan to meet with key government figures, notably President Kibaki and Prime Minister Odinga.

You will recall that on 3 July 2009 my predecessor met with a high level delegation of Kenyan government officials in The Hague. Agreement was reached with the representatives of the Kenyan government that should the Kenyan authorities carry out genuine judicial proceedings against those most responsible for PEV, the Office of the Prosecutor would have no ground to intervene. My predecessor and the Kenyan delegation agreed that impunity was not an option.

On 5 November 2009, after being informed by the Kenyan authorities of the unfortunate gridlock at the national level, my predecessor met with President Mwai Kibaki and Prime Minister Raila Odinga in Nairobi. He informed them that since all the statutory criteria were fulfilled, and since the Government of Kenya had been unable to reach agreement on the establishment of a local tribunal to deal with PEV crimes, it was his duty to open an investigation into the alleged crimes.

Accordingly, he requested the cooperation of Kenyan national authorities with the Court. He recalled the complementary roles of the ICC and the Kenyan authorities in combating impunity. The President and Prime Minister issued a joint statement in which they recorded their constructive meeting with the Prosecutor. The Government stated that it remained fully committed to cooperating with the ICC within the framework of the Rome Statute and the Kenyan International Crimes Act.

This continues to be the framework of the interaction between the Court and Kenya. During my stay in Kenya, I plan to meet with the people of Kenya, civil society and the diplomatic community, to thank them for the critical support they have provided and continue to provide for the work of the Office.

I am here to listen. Through a number of public and media events in the Rift Valley, I plan to exchange views with ordinary Kenyans, including with victims groups regarding ICC process.

The Judges of the ICC have agreed that four suspects must face justice for crimes they allegedly committed during the PEV. The ICC Judges have agreed there are substantial grounds to believe that the four suspects committed the crimes they are charged with and that the cases should go to trial.

The four are presumed innocent until proven guilty and the burden of proof is on my Office to prove the cases against them beyond reasonable doubt.

Let me stress this: the people of Kenya are not on trial; the Government of Kenya is not on trial and no ethnic community is on trial before the ICC. The allegations concern individual criminal responsibility. The four accused will have a fair trial and an equal opportunity to refute the allegations. Their guilt or innocence will be established by the Judges at the conclusion of these trials.

Based on their calendar and their workload, the judges have set the start of the trials for April next year. My Office is working at full speed to prepare for the start of the trials and the process of disclosure has already begun.

As with any judicial process we face challenges. We are working hard every day to address efforts to interfere with our witnesses and our evidence. We are also working to resolve delays in the execution of our requests by the Government of Kenya.

The political future of Kenya is in the hands of Kenyans themselves. The people of Kenya will decide on the outcome of the upcoming elections and ultimately, they will shape the future of this great country. The ICC judicial process will also take its own course irrespective of the political choices that the people of Kenya make.

Thank you

Source: http://www.standardmedia.co.ke/?art...enya-The-verbatim-statement-of-ICC's-Bensouda
 
Pray tell, to the uninitiated, how do we know that the gov of Kenya did not send him?


Pray tell, to the uninitiated, how do we know that the gov of Kenya did send him?

.....look at who is in the so called delegation, they are not government reps apart from
maybe Eugene Wamlawa.

.....then look at the gist if the content of the discussion...its all to do with politics of
the upcoming GE in 2013.
 
Pray tell, to the uninitiated, how do we know that the gov of Kenya did send him?

.....look at who is in the so called delegation, they are not government reps apart from
maybe Eugene Wamlawa.

.....then look at the gist if the content of the discussion...its all to do with politics of
the upcoming GE in 2013.

There is no telling kwamba Uhuru katumwa kiserikali aje na Wamalwa, kachukua posse la hangers-on, na shughuli za serikali alizozungumza hazijawa covered fully, kwa sababu, let's face it, waafrica - na wengine wengi tu- tunapenda elections kuliko kazi.

Look, I am not disputing the dubious nature of this visit.

I am just saying kuonyesha kwamba hajaja kiserikali hapa -unless serikali yenyewe iseme hivyo- ni kazi sana.
 
Back
Top Bottom