Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
ukisoma maelezo ya Maige ni kuwa ile yote ilifanyika kwa ajili ya kujilinda maaana hata leo nikiwa na bilioni moja nataka kununua nyumba nitafanya kama Maige lakini kwa wenye akili tunajua hiyo ni kupotezea tu. Cheki hayo marejesho ya mwezi yalivyo makubwa ....nchi hii tunaibiwa sana lakini iko siku hizi nyumba mtazitema tu......