Beki 3 Wangu

Hehehehe angalia tu hilo zengwe lako usigeuziwe kibao kwa kuamua kumwambia Mama nanihii, "Baba nanihii alikuwa ananitaka mie nikamnyima ndio maana hataki niendelee kuwepo" au akaamua kuongeza na sukari kabisa, "Aliniomba nimeshampa kama mara tatu." Beki tatu atajiondokea lakini hilo kasheshe atakalowaachia hapo kwenye crib yenu moto wake utaujutia.


 
Last edited by a moderator:
Mkuu, ni Sababu ipi inayokufanya u tune akili yako kuwa "Sito mtamani Dada wa kazi", Hii Mkuu haipo, na kama ndo unavyjipa Hope, ukiona una i tune akili yako hivyo, Basi jua ndo ushaanza kumtamani ila una i tune akili yako ishinde Vishawishi, Bila kumshirikisha Mungu Mkuu hutok hapo

Kaka kikubwa ni kujitambua kwamba mimi ni nani, vitu gani naweza fanya na vitu gani siwezi fanya basi. Sikatai kumwamini/kumwogopa mwenyezi mungu na mafunzo ya dini ni msingi mkubwa wa kuwa na principles zilizo simama.

Kingine nimejiwekea utaratibu kuwa mimi sina mahusiano ya moja kwa moja au karibu na hawa wasaidizi, zaidi ya salamu basi, hili ni jukumu la mke wangu.Mimi ninaingea na mke wangu yeye ndio anaongea nao kama kuna issue inanitaka kudeal nao, ulnless kuwe na tatizo kama ugonjwa, ugomvi au tatizo lingine, lakini sio kazi zao za kila siku.

Ninachokiona kwako ni ile hali ya kujiweka kuwa wewe umeshindwa hivyo una achia kila kitu maombi, kama ulivosema mwenyewe kwenye maombi kuna kukubaliwa na kukataliwa, sasa hapo ndio tatizo, kwanza jisaidie wewe ndio Mungu atakusaidia. amini kuwa wewe huwezi fanya hivyo, na Mungu atahakikisha hufanyi.
 
Pamoja na kwamba haya mambo yanaokea sana,

Sijawahi kuelewa kwamba inakuwaje kuwaje mtu unaanza kumtamani msichana wa kazi....

Kama huwezi kuswitch off hiyo tamaa basi huko mbele ni hatari...hata wakija wabaya utawatamani tu!
kamuulize Mahita
 
Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao.
Nina kama week sasa nafunga na kuomba Mungu aniepushe na shetani Muovu ambaye kimsingi ameshaanza kut send Bad signal kwenye Mind yangu juu ya huyu Bint, nitaendelea kufunga na Kumuomba Mungu aniepushe na Adui Muovu shetani, ikishindikana zaid nia apply ile wazungu wanasema "He who avoids tempatation avoids Sin" kwa kumtengenezea Zengwe kwa wife ili arudi kwao ukichukulia ni last week tu tumetoka kupima HIV na wife na wote tuko -Ve na sitak kabisaaaa kuwa source ya Maanagamizi ya Familia yangu.
Naomba Mniombee katika kipindi hiki

PS:
Kwa wale mnaotaka ku Employ wadada wa kazi, nashauri muwape kitu kama a "Grace period" ya kama 6 Months na inabid hii iwe agreed before, after six Month ukianza kupata mawazo ya Kishetani mwambie kuwa haja Qualify na umrudishe kwao kabla Hujamtafuna na kuvuruga Familia.

Wasalaam

Sikubaliani na wewe hata kiduchu. Kama ni uzuri alikuwa nao tangu ulipokuwa unamuajiri zaidi zaidi atakuwa kabadilika kimavazi na sopop tu. Huwezi kumkataza usafi, usafi wake ndio usafi wa familia yako. Kama anavaa nguo fupi za kummuweka nusu uchi, huo ni udhaifu wako wa kushindwa kumsimamia mtoto wako maana yuko chini ya himaya yako. Kadhalika kama anavaa nguo za kulalia(tepetepe) au zozote za kubana. sisemi umchukie au ukae mbali nae, bali jenga mahusiano naye yatakayomfanya akuheshimu na kucheka na wewe kama baba yake au mjomba. Kama anakulembulia basi ujue wewe ndiye unayemtengenezea mazingira ya kufanya hivyo. UKITHUBUTU DHAMBI HIYO BASI HAITAKUACHA SIKU ZAKO ZOTE ZA MAISHA YAKO MPAKA UTAKAPOOMBEWA
 
Hahahaaaa! Itakuwa LIMBWATA LIMEKUKOLEA!!!!! Chezea kulisha chakula kilichopikwa na MAJI YA KUTAWAZ*A!!!!!Hapo lazima uisome namba, KILA SIKU UNAMUONA BOMBAAAA kumbe CHEMISTRY YA BABU HIYO!!! Hakuja mjini kushangaa MAGHOROFA babu wee. MJINI MIPANGO ATIII! Lazima umtupie WIFE virago kabla msimu wa ndoa kuisha @ Kocha wa Yanga!

Duh!!....hivi kumbe ndio limbwata linakuaga hivi......kweli kina dada mna mambo
 
sijajua mnashambulia Mkusa kwanini,amehisi kuna tatizo na ameonyesha nia ya kulitatua ,wengi huwa tunajikuta kwenye vishawishi vya aina hii na bado hatusemi tunabaki kimya mpaka hali inakuwa out of hand . Mkusa hebu ongea na wife tumia akili ya kiume lakini usimwambie kama unamtamani huyo binti tengeneza zengwe lolote huyo msichana aondoke hapo home!
vipi ikitokea majaribu siku zijazo basi asiwe na hg,na majaribu ndo ukamilifu wenyewe.theluji nyeupe
 
Ndo maana nafunga na kuomba na ikibid natengeneza Zengwe arud kwao

Achana na vidosho wa namna hiyo. Mapadre wenyewe wana watoto lukuki mitaani, itakuwa wewe! lasting solution ni kuchukua limama ambaye kilometa zimekwenda lakini bado ana nguvu zake za kufanya kazi ndo awe beki 3 wenu. Huyo kwanza atakutunzia watoto wako na atakuwa bibi wa ukweli mbele ya kids wako.
Hutamtamani na you will remain safe.
 
ninachoelewa mimi kila mtu anapenda kuwa na kitu kizuri ikiwemo ndoa nzuri mwanaume/mwanamke mzuri. kuwa beki 3 haimuondolei yeye matamanio ya kupenda maisha mazuri na kutazama opportunity anazofikiri anaweza kupata hata zikiwa kwenye mzazingira mabaya.
kinachotakiwa ni wewe mwajiri kumlea vyema na kumjenga kama mwanao ukimsaidia na ni kwajinsi gani anweza kuwa na maisha mazuri.
wapo watu wamewalea hawa watu na wakawa na maisha mazuri kuzidi yao lakni siri kubwa ni kuwajali na kuwachukua kama sehemu ya familia.
hapo hakuna cha pepo ondoa uzinzi kwenye umbo lake na kamwe huitaji kumfukuza na ikiwezekana ongeza shughuli za kufanya ukiwa nyumbani ili kuwa mbali naye na kama hilo halitoshi mtafutie kitu kipya cha kujifunza ili kimjengee uwezo wa kufikiria opportunity zingine badala ya kukufizia wewe ambacho kitamjengea maisha ya baadaye.
kumbuka kuwa maisha tulio nayo ni bahati na hata yeye angependa kuwa hivyo pia.
 
mamajack , ninayoyasema mimi ndo ukweli, hata Baba Jack huenda anapata hisia kama zangu, sasa sijui yeye hata hukumbukaga kumshirikisha Mungu kwa kufanya vitu kama kufunga, sala n.k au huwaga ndo ana do kabisa

You are a man of honor to acknowledge your weakness and fight temptation. You are an exceptional. Pepo la majaribu lizidi kushindwa.
 
Last edited by a moderator:
Sasa kwenye hiYO nyumba yako utakuwa unahitaji mabeki3 wenye sura mbaya ili usiwatamani au??
Zuia tamaa za mwili wako
 
Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao.
Nina kama week sasa nafunga na kuomba Mungu aniepushe na shetani Muovu ambaye kimsingi ameshaanza kut send Bad signal kwenye Mind yangu juu ya huyu Bint, nitaendelea kufunga na Kumuomba Mungu aniepushe na Adui Muovu shetani, ikishindikana zaid nia apply ile wazungu wanasema "He who avoids tempatation avoids Sin" kwa kumtengenezea Zengwe kwa wife ili arudi kwao ukichukulia ni last week tu tumetoka kupima HIV na wife na wote tuko -Ve na sitak kabisaaaa kuwa source ya Maanagamizi ya Familia yangu.
Naomba Mniombee katika kipindi hiki

PS:
Kwa wale mnaotaka ku Employ wadada wa kazi, nashauri muwape kitu kama a "Grace period" ya kama 6 Months na inabid hii iwe agreed before, after six Month ukianza kupata mawazo ya Kishetani mwambie kuwa haja Qualify na umrudishe kwao kabla Hujamtafuna na kuvuruga Familia.

Wasalaam






Nina wasiwasi na hiki kipengele kama kinatumika sawasawa:A S-heart-2:
 
Hawa ma hous gl cjui 2fanyeje? Kungekua na mashine za kufanya kaz ningenunua! Mtimue haraka sn la cvyo 2tackia mengne na mkeo hapa.
 
Wakuu,
Kwanza kabisa nipende kutoa shukran zangu za Dhati kwa Michango yenu.
Mmechangia meengi sana ya kujifunza na kama kuna mtu alikuja na kuchungulia hii thread na asipate lolote la kujifunza basi atakuwa na Matatizo.
Sitaweza kuwataja woote kwa Majina ila sio Vibaya nikitoa shukran zangu za Dhati kwa wale walio ni challenge na kunikaripia
na wengine kukaribia hata Kunichapa Vibao Kama ingetokea kuwa Karibu nao, Bila kuwasahau wale walionishauri namna ya kukabiliana na hili
Bila kuwasahau wale wale nishauri kumla Beki 3 wangu.
Inshort, Mungu amejibu Maombi yangu, wala sikutengeneza Zengwe, ila Mungu amenipa namna Nzuuuri ya ku solve hii issue, Kesho kutwa Nampakia Gari huyu NIMT straight to Kwao.
SIHITAJI TEEEENAA BEKI 3 NYUMBANI KWANGU

Akina mamajack , snowhite , SnowBall , Speaker watu8 Kaunga, Mtoboasiri, Dark City dada white, Riwa Fyong'oxi Kongosho Concrete uttoh2002 Kituko, cacico BADILI TABIA mzabzab wehoodie Paloma, @FP, mtotowamjini, lara 1, philipo kidwanga Dena Amsi Ramos sosoliso Blaine king'asi Diga Diga, Eiyer mwakabhuta Edson YETOOO WALIMWEUSI andybird314 MzeePunch, Ng'ongoampoku SMU, TIQO BAK Ndukidi ndetichia kipipili salosalo DSpecial wagaba Chiwa The Mockingjay valid statement, JICHO LA TATU Anita baby

Ahsanteni Sana, Mungu Yupo Jaman na ansikia Maombi yetu, kila tuwapo Majaribuni, Basi tusisite Kumuomba Guidance yake
 
umtengezee zengwe la nini? anakosa gani?si wewe na tamaaa zako! inaonyesha hauna demu halafu kbobo kmejaaaaaaaa!!! afu kuna kaneno wifi dadavuwa mkuu
 
not sustainable solution .......... (sio suluhisho la kudumu) .........

wakuu,
kwanza kabisa nipende kutoa shukran zangu za dhati kwa michango yenu.
Mmechangia meengi sana ya kujifunza na kama kuna mtu alikuja na kuchungulia hii thread na asipate lolote la kujifunza basi atakuwa na matatizo.
Sitaweza kuwataja woote kwa majina ila sio vibaya nikitoa shukran zangu za dhati kwa wale walio ni challenge na kunikaripia
na wengine kukaribia hata kunichapa vibao kama ingetokea kuwa karibu nao, bila kuwasahau wale walionishauri namna ya kukabiliana na hili
bila kuwasahau wale wale nishauri kumla beki 3 wangu.
Inshort, mungu amejibu maombi yangu, wala sikutengeneza zengwe, ila mungu amenipa namna nzuuuri ya ku solve hii issue, kesho kutwa nampakia gari huyu nimt straight to kwao.
Sihitaji teeeenaa beki 3 nyumbani kwangu

akina mamajack , snowhite , snowball , speaker watu8 kaunga, mtoboasiri, dark city dada white, riwa fyong'oxi kongosho concrete uttoh2002 kituko, cacico badili tabia mzabzab wehoodie paloma, @fp, mtotowamjini, lara 1, philipo kidwanga dena amsi ramos sosoliso blaine king'asi diga diga, eiyer mwakabhuta edson yetooo walimweusi andybird314 mzeepunch, ng'ongoampoku smu, tiqo bak ndukidi ndetichia kipipili salosalo dspecial wagaba chiwa the mockingjay valid statement, jicho la tatu anita baby

ahsanteni sana, mungu yupo jaman na ansikia maombi yetu, kila tuwapo majaribuni, basi tusisite kumuomba guidance yake
 
Yaaani mi napiga mabeki tatu mpaka wa jirani.nikikatiza wanakimbilia ndani.kudadadeki
 
Hii ni tamaaa iliyozidi na nazani ushawahi tafuna mabeki tatu wa huko nyuma wewe...mzee hata kama ni uzinzi umekosa wanawake huko mtaani mpaka ukamdhalilishe mkeo kwa kutembea na housegal? Hiyo imekaa vibaya mkuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom