huyu dem utaanzaje kumlinganisha na shayo??? kutakua na beef flan kati ya main gambaz na jamaa yawezekana alishawakosoa sometimes back, siunajua main gamba ni wa visasi..??
naona wengine wanasema huyo dem amebobea kwenye sheria na management, ebu wekeni nyaraka zake hapa kama mlivoweka za shayo....wengine ni vyakula vya wakubwa af mnawaweka sawa na wasomi waliobobea.....??
kuhusu grammar that is not the big issue, maprof kibao tu pale mlimani wanaoaminika wana grammar mbovu sana tena wengine wapo kule dept ya dev studies(mangwini) na mnajua hilo wengi wenu inaonekana mmepitia mlimani sema basi tu jelous ndo zinawasumbua.
wewe nyani ngabu weka cv yako hapa from primary mpaka hapo ulipo ili twende sawa....mimi sina xperiance ya hivo ila nina div 1.8 olevel, 1.4 advance, chuo 1st class ila ngeli yangu yakuunga mbaya...na wala sibabaiki...mbona wachina hata how are you hawaelewi na bado wanakimbiza kila sector??? acheni ushamba hapa....mnajifanya wajuaji wakati wenigine mpo huko ulaya kubeba box na kuogeza vizee...tokeni zenu hapa.