House girl kaniandikia barua ya mapenzi

Kulinda heshima, muambie wife ukweli na mtimue, hiyo mzee itaua ndoa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kwa kweli

raha ya kujifungua uwe kwako
kurudi home unaenda kulazwa chumba cha watoto ya nini?

Mie pale pale home kwangu.

Afu mwanamme anayewaza kungonoka na hg simwamini kabisa.
Siku akizidiwa anaweza kula hawa watoto wake mwenyewe.

Yaani wanawake wote wa nje mtu anakosa? Hadi angonoke na anaowalisha mwenyewe?

umeona eeehh!
nilipojifungua mtoto wa kwanza tulikuwa mimi na hubby peke yetu, na home tulikuwa na houseboy....
nakumbuka ile usiku ananipeleka hosp kuna jirani alituona akamwambia mkewe (naona hapa ngoma tayari), wakatuwahi, wakaoffer tuende nao hosp.
usiku huo huo nikajifungua, nikarudi home mchana wake.......... hubby na hb wanapika supu na kubadilisha nepi mtoto.... naoga mwenyewe, navaa mwenyewe, naogesha mtoto wangu mwenyewe
siku ya tatu ndo mdogo wangu (wa kike) akaja kunisaidia.
 
Ha haa haa alikuwa anakula vichwa sio?

siku hizi unaletewa housegirl ana Blackberry ....huku mkeo ana Nokia tochi...
housegirl asubuhi anakwambia ' maambo uncle'?
huku kavaa ki pedo lol
he he heeeeeee, baada ya kuzinguana na vitoto sasa nimeamua kuwa na mmama pale kwangu.........
mkwala wa kwanza siku aliyokuja tulimtambulisha humu ndani huyu ni baba na huyu ni mama..... hakuna "uncle/shemeji/kaka/wala binamu" na mimi siyo dada yako, sawa?
hata kama mkubwa kwangu, mimi naitwa mama na baba ni baba........ nisikie shemeji inatamkwa humu
 
huyu mtoto ameshaona hakuna rejection hapo...... yeye ndo ana-dictate terms and conditions........
umeona sasa hapo?

ila mwanaume anaetembea na hgeli jamani, mptuuu! Nitamdharau sana bora tuachane. Hgeli ni kama mtoto wako, akiumwa tumbo la hedhi anakuambia unampa buscopan! Na kweli, hadi amuandikie baba barua, lazma kaona anacheka cheka!
 
rafiki kwa kuongezea hapo kwenye bongo movie, kama siyo yenyewe basi huo ni uzembe wa baba.........
inakuwaje hg akawa na guts za kukuandikia barua ya mapenzi baba mwenye nyumba?
ameanzaje kwanza........
na anakuhakikishia hatamwambia mkeo.......yaani kaona possibility ya kukataliwa ni almost 0
sijui labda aje mzee mzima Dark City anifafanulie hili kwa ile lugha yetu ya watu wa kale.....
na wewe rafiki inabidi ule uzi wetu urudi hapa kwa lugha mbali mbali........ mimi najitolea kutafuta wakalimani wa kila kabila
FP mm naweza kusema wababa wa kileo wana kazi. hivi kweli waweza kumwambia HG aandike matumizi ya ndani kwako?? hivi umewahi kuona mama hayupo kaenda kujifungua akamwacha binti na baba?? hapa nina shaka napo hivi kwani ni kawaida kweli?

haya tufanye ni kweli inakuwaje binti wa 16 yrs anapata ujasiri wa hata kujua swala la siri hivi uthubutu huo anapata wapi? hapo nyumban kwako anasiku ngapi hadi umewaza kumpeleka qt?? na je umemshirikiha mkeo swala la qt??
 
Last edited by a moderator:
he he heeeeeee, baada ya kuzinguana na vitoto sasa nimeamua kuwa na mmama pale kwangu.........
mkwala wa kwanza siku aliyokuja tulimtambulisha humu ndani huyu ni baba na huyu ni mama..... hakuna "uncle/shemeji/kaka/wala binamu" na mimi siyo dada yako, sawa?
hata kama mkubwa kwangu, mimi naitwa mama na baba ni baba........ nisikie shemeji inatamkwa humu

haisaidii aisee. Hivi ulishawahi kuona dada wa jirani anakuamkia shkamoo afu mumeo anamuambia mambo kaka? Hahaha, dunia ina mambo!
 
ila mwanaume anaetembea na hgeli jamani, mptuuu! Nitamdharau sana bora tuachane. Hgeli ni kama mtoto wako, akiumwa tumbo la hedhi anakuambia unampa buscopan! Na kweli, hadi amuandikie baba barua, lazma kaona anacheka cheka!

Mimi wanaonifurahisha ni wale ambao anatembea na housegirl..
halafu hataki kupikiwa na housegirl eti hamuamini usafi wake..
some people are funny lol....
 
ila mwanaume anaetembea na hgeli jamani, mptuuu! Nitamdharau sana bora tuachane. Hgeli ni kama mtoto wako, akiumwa tumbo la hedhi anakuambia unampa buscopan! Na kweli, hadi amuandikie baba barua, lazma kaona anacheka cheka!

mama yangu alikuwa nasema hivi miaka hiyo tukiwa hme, ''yyte aliyeko hapa ndani ni dada ama kaka kwenu na kwangu ni mtoto" nilikuja kulielewa hili maana yake nilipokuwa mkubwa kwamba kama namuhesimu kaka yangu basi na yyte yule aliyeko nyumban kwetu hata kama aatujazaliwa nae ni ndugu hivyo heshma lazima iwepo
 
ila mwanaume anaetembea na hgeli jamani, mptuuu! Nitamdharau sana bora tuachane. Hgeli ni kama mtoto wako, akiumwa tumbo la hedhi anakuambia unampa buscopan! Na kweli, hadi amuandikie baba barua, lazma kaona anacheka cheka!
hapo sasa....... amepata wapi nguvu za kuandikia baba mwenye nyumba barua?
kuna baba mmoja alikuwa hajawahi pitiwa na hg......kila hg lazima ampitie. mama alifukuza weeeeeee baadae akaamua imetosha, kamleta mmoja hapo ndo yupo kwa muda mreeeefffuuuuuu
 
mtani upo? huyu jamaa yakoooo nini!

Nipo nipo, we mwenyewe wajua sisi ndio wazawa wa nchi hii. Huu uzi usiuchekee nakwambia.Usije kuta semegi ndiye kaposti hapa halafu kasingizia mkewe kaenda kujifungua.

Be warned!
 
Majaribu yapo kila mahali na ni lazima kila mmoja ajaribiwe. Hilo ni jaribu lako, huna haja ya kumshangaa sana huyo Hg; pepo la ngono limemtawala. Unachotakiwa kufanya ni kumuonyesha msimamo wako kwa kumkatalia kata kata.

itunze hiyo barua maana inaweza kukusaidia kesho atakapotaka kukulipizia kisasi kwa kutomkubalia; watu wasio na haya kama huyo wako tayari kwa lolote.
 
he he heeeeeee, baada ya kuzinguana na vitoto sasa nimeamua kuwa na mmama pale kwangu.........
mkwala wa kwanza siku aliyokuja tulimtambulisha humu ndani huyu ni baba na huyu ni mama..... hakuna "uncle/shemeji/kaka/wala binamu" na mimi siyo dada yako, sawa?
hata kama mkubwa kwangu, mimi naitwa mama na baba ni baba........ nisikie shemeji inatamkwa humu

hahahahah! sipati picha unaitwa mama na bibi lol!
lkn kiukweli mabinti wa azi walikuwa zamani wa siku hizi wankuja kazini kimtego kweli tena wanapewa shule watokako kwamba ukimkuta baba anaingilika basi mpindue mama. wengine wanakuja wachawi, wengine visirani basi kero tupuuu??

mm nina mdada mmoja fp kanailelea wanangu wote ana miaka 9 kwangu, imebidi hadi nafasi moja ya bima ya afya nimpatie kwa jinsi alivyonilelea wanangu ila maskini weee ameposwa soon ataenda kwake sijui nitakomaje. uzuri mm huwa hawa mabinti nakaa nao hadi wa resevu akitoka mmoja mwingine wnwingia soonest na nikikuona huelekei unaondoka ifuatavyo yaani sina muda kabisa wa kusumbuana na vibinti.
 
mwanamme anayekula hg ptuu
siku moja atakula watoto wake mwenyewe.

ila mwanaume anaetembea na hgeli jamani, mptuuu! Nitamdharau sana bora tuachane. Hgeli ni kama mtoto wako, akiumwa tumbo la hedhi anakuambia unampa buscopan! Na kweli, hadi amuandikie baba barua, lazma kaona anacheka cheka!
 
umeona eehhh!
yaani sipati picha hg yeyote aje pale home athubutu hata kuvaa sketi fupi akimuwinda baba mwenye nyumba, sembuse kumkonyeza! ataanzia wapi.................
hapo ndugu angalia tu jinsi ya kujirekebisha, maana siwezi kusema fukuza huyo hg, tatizo unalo wewe.
kama mtoto wa 16 years ameweza kukuandikia baria basi ujue una safari ndefu sana, kama hutabadilika imekula kwako.....
na hapo ndo kwaaaza unaanza, maana huyo ni mtoto wa kwanza, lol!

house-maid-300x300.jpg

Why Many Husbands Are Snatched By House-maids | Tumfweko

Katakuwa kameshasoma macho ya baba mwenye nyumba kwamba yako KODOKODO, vibinti vya siku hizi vina saikolojia ya kusoma macho ya wanaume na kupata ujumbe, sema tu kamekosea timing na kuandika barua.....
Katakuwa KAME BUGI MEEEN................LOL
 
hapo sasa....... amepata wapi nguvu za kuandikia baba mwenye nyumba barua?
kuna baba mmoja alikuwa hajawahi pitiwa na hg......kila hg lazima ampitie. mama alifukuza weeeeeee baadae akaamua imetosha, kamleta mmoja hapo ndo yupo kwa muda mreeeefffuuuuuu

mwali nina story ya dada mmoja wakati nasoma chuo mumewe alikuwa anafanya kazi SUA sasa huyu bi dada alipomaliza chuo akarudi kwake, alikuwa mjamzito uscheke alitafuta mdada wa kazi ukweni kwake. aliletewa binti aliitwa SUZY siku ya kwanza tu alipomuona alijua ndani hapakaliki. binti kanyoa na kibwenzi na kupaka hina nywelle wafikiri atafanya kazi kweli?? bibie alipomchunguza vyema baadae alijua amekuja kufanya nn mle ndani manake alikuja kuharibu iyo ndoa. uzuri huyu dada hanaga papara alimsoma siku alipomaliza kumsoma vyema alimwambia tu dada ahebu funga nguo zako vizr?? bint alijua ameambiwa apange chumba alikunja nguo vzr baadae akasikia sasa tunaondoka alilia kama kafiwaa ila hakupata msamaha alipandishwa gari kurudi kwao mbulu. so inategemea huyu binti ana mwonekano upi na ni kosa la mama kwann hakuenda nae??
 
haisaidii aisee. Hivi ulishawahi kuona dada wa jirani anakuamkia shkamoo afu mumeo anamuambia mambo kaka? Hahaha, dunia ina mambo!

unamaana mume anaamabaiwa mambo na mtu anayenisalimia shkamoo ???? uwiiiiiiiiiiiii
 
Kasije kuwa kalikuwa kachangu mitaa ya uwanja wa Fisi na huko kijijini kamesingizia tu, bali ni kenyeji hapa town.

Nakumbuka mwaka juzi nililetewa house girl ambaye alikuwa ni Bar maid maeneo ya Mbagala na sisi hatukujua na alikuwa na heshima kweli zile za kijijini. tuliishi naye kama miezi miwili,hivi tukijua katokea kijijini na kila akienda sokoni ni lazima ajitande ushungi hasa.

Sasa siku moja nikatembelewa rafiki yangu aishie Mbagala na alipomuona tu alishtuka sana, hakutoka sebuleni na kila akiitwa ili kutumwa alikuwa anatoka lakini uso wake ulitawalaiwa na aibu sana. wakati namsindikiza mgeni ndipo akanijuza kuwa yule binti alikuwa ni Bar maid huko Mbagala na alikuwa anakula vichwa mbayaaa....

Nilipomweleza mke wangu alishtuka sana, lakini tukapanga tuishi naye kwa akili na ikifika mwisho wa mwezi tumruhusu aondoke na tulifanya hivyo lakini hatukumwambia sababu zaidi ya kumweleza kuwa hatuhitaji tena msichana wa kazi.
we mzee hebu malizia story hapa!
 
Back
Top Bottom